Mbonea
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 640
- 20
Wadau, nimesikia tetesi kuwa ubalozi wa Korea ya Kusini unampango wa kumleta Chumong nchini na hii yote ni kua-preciate mwamko wa Watanzania dhidi ya filamu hiyo iliyoisha wiki iliyopita. Balozi huyo pia amekabidhi rasmi tamthilia nyengine ambayo huenda ikaanza kurushwa rasmi wiki hii, siku na muda uleule. Jamaa hawa ndyo waliowakabidhi ITV tamthilia za; WINTER SONATA, JEWEL IN THE PALACE, CHUMONG n hii mpya inayokuja