Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 288
Wandugu mwenye taarifa positive za vyumba vya kupanga, iwe ni self ama kawaida, pamoja na bei zake, maeneo ya magomeni ama sinza tafadhari tuwasiliane haraka.
vipo sinza call me 0714812375
Mcheki huyu 0715457263
kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555
kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555
karibu na collubus hotelKijitonyama kubwa!!
Sehemu gani K/nyama???