Chumba cha kupanga self ama kawaida, maeneo ya Magomeni ama Sinza, haraka!!

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
710
288
Wandugu mwenye taarifa positive za vyumba vya kupanga, iwe ni self ama kawaida, pamoja na bei zake, maeneo ya magomeni ama sinza tafadhari tuwasiliane haraka.
 
Madalali wa maeneo tajwa mko wapi? Nahitaji sana vyumba katika maeneo hayo kwa ajili ya vijana wangu jamani. Naombeni ushirikiano wenu wandugu
 
kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom