klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,143
hapo red nashkuru sana kwamba hukunitaja jina.GOSH!!
Hivi jamani unaweza ukamchukia mtu mpaka ukimwona au ukimsikia hata hamu ya kula inakuisha???
Kuna mtu mmoja maishani mwangu nampenda kiasi kwamba niko tayari hata kufa kwaajili yake...sasa haya mapenzi niliyonayo kwa huyu mtu ni sawa na chuki niliyonayo kwa mtu mwingine. Yani huyu amewahi kunifanyia vimbwanga vingi sana na pamoja na chuki niliyo nayo juu yake bado sijawahi kumtakia mabaya...infact hua namsaidia sana akiwa na tatizo.Ila kila kizuri nnachomfanyia hua kinaniletea mimi mabaya kwa namna moja ama nyingine....mpaka nafikiria labda naadhibiwa kwa kumsaidia.Sasa nimefikia mahali hata nikimwangalia nahisi moyo unaniuma...nimepata mawazo mabaya kweli juu yake jana.
Sasa hivi nataka niweke umbali kati yangu na yeye kwa namna yoyote ile....hata ikibidi nihame nilipo niko tayari.Nadhani nahitaji maombi.....embu niombeeni wandugu!!
Mchana mwema!
Huyo wa buluu (ambae nafkiria ni CPU),nadhani hii inakuwa ni tabia za mtu, wapo watu wana tabia flani kwenye DNA zao ambazo ni tabu sana kubadilika, am sure ukimuangalia sana huyo mchuki wako utagundua hili, there is nothing much he/she can do abt it, solution wasiliana nae lakini usijienvolve nae too deep.
offu topik: uswahilini inabidi uhame tu hata kama sio kwasababu hii.