CHUKIi!!

Lizzy kama wampenda mtu ujue ipo siku uTAMCHUKIA kwa kiasi umpendacho sasa!
 
Kweli ngoja nijipe raha mwenye....

kama mnaishi naye karibu sana bora tu uhame.
Japo matatizo hayakimbiwi lkn watu wa hivyo ukiwa nao mbali ni bora,
pole,mi kuna mmoja mwanzon alinipa shida sana maana kila nikijaribu kumpotezea,na kumsamehe anarudia kwa kasi mwishowe nikajikuta namchukia kiasi cha kujisikia hovyo kila nikimuwaza lkn namshukuru Mungu tokea nimekua mbali naye hata sina tena chuki naye na moyon mwangu nimemsamehe kabisa.
 
Embu zima hiyosimu
Au toa kwenye vibration
Halafu tuongee kwa herufi kubwa lol
 
kama mnaishi naye karibu sana bora tu uhame.
Japo matatizo hayakimbiwi lkn watu wa hivyo ukiwa nao mbali ni bora,
pole,mi kuna mmoja mwanzon alinipa shida sana maana kila nikijaribu kumpotezea,na kumsamehe anarudia kwa kasi mwishowe nikajikuta namchukia kiasi cha kujisikia hovyo kila nikimuwaza lkn namshukuru Mungu tokea nimekua mbali naye hata sina tena chuki naye na moyon mwangu nimemsamehe kabisa.
Sio wayaongee wayamalize? akihama na akamfata?
 
Ukihama badili na line ya simu kabisa anaweza aka kutrack si unajua mautaalam siku hizi unampigia mtu wa mtandaoni anakusomea mnara tu
 
GOSH!!

Hivi jamani unaweza ukamchukia mtu mpaka ukimwona au ukimsikia hata hamu ya kula inakuisha???

Kuna mtu mmoja maishani mwangu nampenda kiasi kwamba niko tayari hata kufa kwaajili yake...sasa haya mapenzi niliyonayo kwa huyu mtu ni sawa na chuki niliyonayo kwa mtu mwingine. Yani huyu amewahi kunifanyia vimbwanga vingi sana na pamoja na chuki niliyo nayo juu yake bado sijawahi kumtakia mabaya...infact hua namsaidia sana akiwa na tatizo.Ila kila kizuri nnachomfanyia hua kinaniletea mimi mabaya kwa namna moja ama nyingine....mpaka nafikiria labda naadhibiwa kwa kumsaidia.Sasa nimefikia mahali hata nikimwangalia nahisi moyo unaniuma...nimepata mawazo mabaya kweli juu yake jana.

Sasa hivi nataka niweke umbali kati yangu na yeye kwa namna yoyote ile....hata ikibidi nihame nilipo niko tayari.Nadhani nahitaji maombi.....embu niombeeni wandugu!!

Mchana mwema!

Chuki inakusababishia kukasirika, kusononeka, kuwa na mawazo tele juu ya umchukiae hivyo basi ukiijenga matatizo hayaishi.

Unajua unapompenda mtu unamfanyia vitu vingi sana kutokana na moyo wako wa upendo na wa kujali kwa mtu huku usiwe unategemea chochote ila mara nyingi inauma kama huyo mtu unaemtendea hivyo anakutenda mabaya. Wengine wanafanya makusudi wakijua kabisa napendwa na nikimwambia yule anifanyie hivi na vile bila hatokataa.

Msamehe kama kakusoea na ondoa roho ya chuki ndani yako. Hii itakusaidia wewe kuendelea na maisha yako kwa amani pia fresh mind! Na ikitokea anakuomba umsaidie kitu kama kipo ndani/nje ya uwezo wako usimsaidie, hii itakusadie wewe kuanza kuweka distance kati yenu.

Mchana mwema nawe!
 
Sipendi wa sichukii mtu - As simple as that!
Hello rafiki,

pole sana kwa hali unayopitia, sio wewe peke yako, wapo watu wengi sana wa jamii kama ya kwako. kwa ufupi ni wewe kuamua kusamehe, katika saikolojia kuna kitu tunasema" NGUVU YA KUSAMEHE, rafiki mara unaposamehe kuna kitu fulani uwa kinaondoka rohoni: KINYONGO' ivyo yakupasa kusamehe ila uwe makini nae. na nguvu hii ya kusamehe kila mtu anayo ni uamuzi tu wa kuamua.

nakusihi sana usamehe hili jambo, natumai umenielewa.
 
Ukihama badili na line ya simu kabisa anaweza aka kutrack si unajua mautaalam siku hizi unampigia mtu wa mtandaoni anakusomea mnara tu

Hahaha mpaka aanze kunifuatilia hivyo atakua ana matatizo zaidi ya ninavyofikiri!!!
Ila aisee sijawahi kubadilisha namba yangu kwaajili ya mtu....na sidhani kama itatokea anifuatilie tu akitaka!!!
 
Ili uweze kuweka mambo vizuri katika moyo wako kwanza ninini chanzo cha wewe kumchukia?sababu kuna aina ya mambo ambayo kila mtu humuumiza kutokana na uzito wake pamoja na mazingira ya tukio.

Sababu kuna kuumizwa kimapenzi ambapo suluhu yake ni tofauti na mtu akikuibia hela au akikutukana na hata ushauri wake pia hutofautiana so plz embu tujuze chanzo ni kipi ni mambo ya mapenzi au ni mambo ya kawaida katika jamii ili tukusaidie zaidi ushauri utakao endana na tatizo lako manake tusije kushauri kitu ambacho kina uzito zaid ya tujuavyo ila hasa mambo ya mapenzi ndo huwa yanakuwa na maumivu makali zaidi kuliko k2 chochote kile so tell us pz.
 
GOSH!!

Hivi jamani unaweza ukamchukia mtu mpaka ukimwona au ukimsikia hata hamu ya kula inakuisha???

Kuna mtu mmoja maishani mwangu nampenda kiasi kwamba niko tayari hata kufa kwaajili yake...sasa haya mapenzi niliyonayo kwa huyu mtu ni sawa na chuki niliyonayo kwa mtu mwingine. Yani huyu amewahi kunifanyia vimbwanga vingi sana na pamoja na chuki niliyo nayo juu yake bado sijawahi kumtakia mabaya...infact hua namsaidia sana akiwa na tatizo.Ila kila kizuri nnachomfanyia hua kinaniletea mimi mabaya kwa namna moja ama nyingine....mpaka nafikiria labda naadhibiwa kwa kumsaidia.Sasa nimefikia mahali hata nikimwangalia nahisi moyo unaniuma...nimepata mawazo mabaya kweli juu yake jana.

Sasa hivi nataka niweke umbali kati yangu na yeye kwa namna yoyote ile....hata ikibidi nihame nilipo niko tayari.Nadhani nahitaji maombi.....embu niombeeni wandugu!!

Mchana mwema!

Kuna thread moja ulizanzisha huko nyuma juu ya marafiki. Unaikumbuka?
 
Kisaikolojia ni kuwa huyo unaemchukia anakukumbusha mtu aliekutendea visivyo zamani (sio yeye ila anakukumbusha mtu mwenye characteristics sawa na mbaya wako) - especially ukiwa mdogo. Watu huwa hatusahau kitu hata ipite miaka mingapi - as long as you live. Kwa mfano, watu ambao utotoni walikuwa wanaugua sana na kupelekwa hospitali na wakachomwa sindano mara kwa mara mara nyingi hawapendi kuvaa nguo nyeupe (wanahusisha nguo nyeupe na maumivu waliyokuwa wanayapata utotoni japo physically hawakumbuki.

Nikupe homework: Angalia unaowapenda (boy friend, husband - or for that matter, wife/girl friend) kama hawana features ambazo kwenu zipo. Ndio maana waswahili wana msemo huu: Watu wakioana baada ya muda wanafanana! Hawafanani baada ya kuoana, ila ni kuwa walikuwa "attracted" kwa kuwa kwo kuna watu wana features ambazo ndizo hizo zilizowafanya wawe attracted to each other.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom