Gamariel Member Sep 8, 2009 82 6 Nov 2, 2010 #1 mwaka huu ni noma mafisadi wamechujwa naturally, kumbe wananchi wameamka wakiwekewa koroma hawalichukui
mwaka huu ni noma mafisadi wamechujwa naturally, kumbe wananchi wameamka wakiwekewa koroma hawalichukui
N Ngandema Bwila JF-Expert Member Sep 8, 2010 1,017 256 Nov 2, 2010 #2 Bado Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya kifisadi. Andrew Chenge anaye goma kusaini.