Chuchu Sound

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
salam aleykum

ningependa kuomba mtu anisaidie kujua wapi nitapata nyimbo za chuchu sound ile ya akina mao santiago
 
Naam!

Umenikumbusha 2000/1 hapo ndani ya Chuchu sound kuna Chuchu Yusuph(rip), Mao Santiago, Hababuu mwana Zanzibar, Omari Mkali, Joniko flower-maua (sasa Machozi band), Gabi Katanga(rip) na wengineo.

Walikuwa wapo juu sana miaka hiyo. bendi yao ilivunjika ikiwa bado iko juu-mambo ya mapato. Naamini wanamziki wote waliopitia chuchu bado wanaikumbuka sana bendi yao.

Nikirudi kwenye mada, mi nakushauri ukanunue albamu yao kariakoo au hata pale buguruni unaweza ukaipata.

Ndio, kitu kizuri, tuwe tayari kukigharamia, sikushauri uka-burn.
 
Naam! Umenikumbusha 2000/1 hapo ndani ya Chuchu sound kuna Chuchu Yusuph(rip), Mao Santiago, Hababuu mwana Zanzibar, Omari Mkali, Joniko flower-maua (sasa Machozi band), Gabi Katanga(rip) na wengineo. Walikuwa wapo juu sana miaka hiyo. bendi yao ilivunjika ikiwa bado iko juu-mambo ya mapato. Naamini wanamziki wote waliopitia chuchu bado wanaikumbuka sana bendi yao.
Nikirudi kwenye mada, mi nakushauri ukanunue albamu yao kariakoo au hata pale buguruni unaweza ukaipata. Ndio, kitu kizuri, tuwe tayari kukigharamia, sikushauri uka-burn.

Labda uwe specific kariakoo duka gani, hata huko buguruni ni duka lipi, kununua au kulipia sio tatizo nathamini kazi za watu ni busara kuzinunua.
 
aaaaaaah umenitonesha kidonda mie.......bwan chuchu taaaa....bwan chuchu tamuuuuu nini tamuuuu!!! si hii nyimbooo
 
kitendawili ...tega!.....meza kubwa meza, meza ndogo je? Walikuwa juu. Wimbo kama MARAFIKI nilikuwa naufeel sana na hasa pale Mao Santiago anapolalamika kisha kumpasia Omari Mkali akiimba '.... Omari Mkali sema'.
 
Ilikuwa raha pale maeneo ya Msasani Club (Drive Inn) Chuchu Sound... Raha ya dafu ni dafu lenyeweee! Kikombe,bakuli huipati rahayeee!..., (kuna mrija Babu!)
 
ahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Chuuuuchuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Labda uwe specific kariakoo duka gani, hata huko buguruni ni duka lipi, kununua au kulipia sio tatizo nathamini kazi za watu ni busara kuzinunua.

Nenda duka lolote maeneo hayo linalouza kanda za muziki/video. Kwa buguruni, kama unatokea kituo cha mafuta cha 'shell', nenda hatua kama hamsini kama unaenda amana, kuna duka lipo mkono wa kushoto linauza kazi halisi za wasanii mbalimbali. Kwa Kariakoo, yapo maduka mengi yanayouza kazi za wasanii. Samahani kwa kuchelewa kukujibu.
 
salam aleykum

ningependa kuomba mtu anisaidie kujua wapi nitapata nyimbo za chuchu sound ile ya akina mao santiago

nenda pale afrika sana kuna duka moja la mziki ambapo ukikosa cd au dvd au nyimbo yoyote uitakayo njoo uni israeli. na kama utaikosa hapo bado usikate tamaa nenda pale tegeta kwa ndevu kituoni unatembea hatua kama gwala tu mkono wako wa kushoto kuna duka jingine la miziki hiyo uitakayo na ukikosa huko kote uliza lilipo duka la twanga pepeta hapo huwa wanauza pia mikanda ya miziki na kwa upande wa posta unaweza kwenda kwa wale washikaji wa pale ilipokuwa zamani embassy hotel kwa pembeni hivi huwa anakaa homeboy mmoja hivi huuza mikanda hiyo ktk yale matoroli yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom