christmas

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom