Choo cha passport size

Uswazi bana...kuna burudani sana!

Sasa hapo napiga picha mtu unaingia kupiga bafu halafu unakutana na kenge....
 
hahaaaaaaaaaaaaa imagine halafu maji yenyewe ya mgao sipati picha.

Hahahahaha ndo hapo sasa hapo chalii maji yamemwagika si unajua kule chooni unaenda na maji kwenye kopo?
 
Na kule hakuna cha toilet paper wala nini ni balaa hapo na huwezi kumwita mtu akuletee maji mle
 
Au ni pale gunia au kanga uliyotegemea mlangoni inapodondoka wakati mtu mzima umejipaka sabuni huoni kinachoendelea
halafu wamama wa kiswahili wamekaa nje wanapiga soga zao

Alafu unajua foleni yake wanafanyaje unaweka ndoo mlangoni kama kuna mtu yupo ndani anaoga
 
Choo cha passport size hakuna kuremba. Kila mmoja anaoga kwa muda wake. Kwanza hakina uwezo wa kuhimili uzito wa watu wawili na ndoo. Njoo huku kwetu kwa mtogole ujifunze matumizi ya vyoo vya passport size.
 
Na kule hakuna cha toilet paper wala nini ni balaa hapo na huwezi kumwita mtu akuletee maji mle

Sasa pale kama tumbo limefuluga alafu unarusha mabomu akina mama wamekaa nje utasikia vicheko na sauti za kimbeya "haloooo babu weye umekula visivyo lika babu weyeee!!" mzee unashusha pratatatata mbuuuuuuuu phewwwwwww yaani balaa tupo huko nje noma
 
Alafu unajua foleni yake wanafanyaje unaweka ndoo mlangoni kama kuna mtu yupo ndani anaoga

raha ni pale wababa na vitambi vyao wanatoka na taulo ambalo hata rangi yake haijulikani limefungwa tumboni na lina vitobotobo kibao wanaenda kuoga ni full kicheko
 
Choo cha passport size hakuna kuremba. Kila mmoja anaoga kwa muda wake. Kwanza hakina uwezo wa kuhimili uzito wa watu wawili na ndoo. Njoo huku kwetu kwa mtogole ujifunze matumizi ya vyoo vya passport size.

Mvua ikinyesha baba mwenye nyumba anafungulia kinyesi wao wanaita kutapisha sasa kanyaga uone maji yake
 
Sasa pale kama tumbo limefuluga alafu unarusha mabomu akina mama wamekaa nje utasikia vicheko na sauti za kimbeya "haloooo babu weye umekula visivyo lika babu weyeee!!" mzee unashusha pratatatata mbuuuuuuuu phewwwwwww yaani balaa tupo huko nje noma

Na unajua wamama wa kiswahili wanapenda kweli kukaa karibu na hivi vibafu na vyoo
 
raha ni pale wababa na vitambi vyao wanatoka na taulo ambalo hata rangi yake haijulikani limefungwa tumboni na lina vitobotobo kibao wanaenda kuoga ni full kicheko

Hahahaha akitoka kuoga mswaki anauchomeka kwa ubavuni kwenye taulo tumbo hilo
 
Na unajua wamama wa kiswahili wanapenda kweli kukaa karibu na hivi vibafu na vyoo

Huwa wanapima uzito wa mzigo unao toa kama ni kimba basi likidondoka ngiiiiiiiiii tayari maneno nje
 
Hahahaha akitoka kuoga mswaki anauchomeka kwa ubavuni kwenye taulo tumbo hilo

Uswazi unajua hakuna choo na bafu
Choo ndicho hicho hicho bafu so mtu anaingia kule na mambo mawili
Kama una tumbo hapo limechafuka ujue utasababisha foleni kwa watu nje kinoma
 
Back
Top Bottom