Choo cha passport size

Huwa wanapima uzito wa mzigo unao toa kama ni kimba basi likidondoka ngiiiiiiiiii tayari maneno nje

Na hapo wanamsema mkeo anaambiwa ajitahidi kupika vizuri mumewe asipate shida au unaambiwa uongeze gharama za kufanya usafi
 
Mkuu sasa hapo ni balaa maana kila unachofanya kwa mikono kitakuwa kinaonekana

kuoga.jpg


Umeona kwa mfano hapo sasa upo na lazizi anakusugua mgongo si noma
 
Uswazi unajua hakuna choo na bafu
Choo ndicho hicho hicho bafu so mtu anaingia kule na mambo mawili
Kama una tumbo hapo limechafuka ujue utasababisha foleni kwa watu nje kinoma

vyoo1.jpg


Sasa kama hiki utagawaje bafu na choo vyote viwili ni humo humo
 
CHOO%2BMILIMANI.JPG


Magorofa yaliyopo uswazi
Huwa wanaangalia picha live angalia hapo
 
Hapo shughuli pevu,maana wakati mwingine mambo ya kikubwa yanaweza kufanyika hukohuko bafuni,sasa hapo wapiga chabo si watajinoma porn movie ya bure?
 
nimegunduaaaaaaaaaaaa kumbe mamemba humu wote ni vibopa hakuna anayeishi uswazi kasoro Bishanga Abashaija,hongereni zenu na mimi ngoja niende kwa babu mlingotini anisafishie nyota labda kitanichanganyikia na mie nihamie kwenu masaki.
 


Mambo ya uswahili ni kawaida sana kuona choo cha passport size.
Kuna wapenzi huwa wanapenda sana kuoga pamoja bafuni hata chooni wanapenda kwenda pamoja.
Sasa kwa wale wapenzi wanao tumia vyoo vya passport size wanafanyaje?
Nimepata mrembo uswazi choo chao passport size nitawezaje kuoga nae?
Ni rahisi ukiopoa mtoto wa uswazi unaishi kiuswazi swazi na ukiwa na wale wa Obey au Njiro basi unageuka kigeugeu kama popo na yoyo nyingi sana.
 
Mara kadhaa nilizobahatika kukatiza mitaa ya uswazi huwa kina dada na kina mama wanapenda kukaa hasa jioni wakijielekeza usawa wa hiyo WC. Unakuta ametoka zake kibaruani na vimaji sijui robo ndoo na kijitaulo kimeisha ndani ya guni ana kitaulo kinaning'inia.....kuko nje utasikia hoohohohooo haloooooo... nilikuwa najiuliza kulikoni hasa vicheko hivyo.
 
Back
Top Bottom