CHONDE CHONDE RUDISHENI MADENI & Pesa ZOOOTE!! Wataniua Jamani……

Hapa basi inawezekana NN alikuwa anakichanga kwa ajili ya hela za kupigia kampeni Ubunge 2015



hahahaha.... Sasa kawaida si hua warudisha baada ya uchaguzi... Naona hio theory sio.... Hebu jaribu nyingine, after all usafiri anaendesha hajabadilisha for three years sasa that would have explained a lot.....lol
 
Mweeee!!! Huo si ulikua ni masaaaada?? How come wayaweka hadharani na kamati sikuwahusisha pesa ulotuma? Damn!!
[/QUOTE]

umemwaga makande namwaga boga ndo utaelewa sasa,nina mashemeji zangu na mawifi kibao hapa na wewe unanidharirisha hivi sikubali ntasema na lile leswig nilokuazima kwenye mtoko wako na... Nimtaje?sema suu
 
nalipwa kwa pounds
ila hapa ulinzi wa uhakika, hata nzi naua kwa bunduki

afu kuna mtu hapo anadaiwa hela ndogo kweli
alikopa za sigara?

hahahaha..... Pole saana Kongosho....lol... Si wajua niliwamiss nikaona hata hivo sababu yamenikuta Niweke hadharani.... Kuhusu bei ni maelewano. Si wajua huo ubody guard wahusisha na wewe kuweza jitahidi kuhimiza wanilipe? Itakua Pay as you earn type....lol
 
Yaani ADi mwanzo ume flow vizuri nkajua unadai kweli.. Dah!



hahahaha..... Uzuri wako Amyner wewe ni mlipaji mzuri baas wafikiri woote walipaji.... Imagine Bishanga nimemtia ndani tayari sababu ya usumbufu wake.....lol
 
hahahaha..... Uzuri wako Amyner wewe ni mlipaji mzuri baas wafikiri woote walipaji.... Imagine Bishanga nimemtia ndani tayari sababu ya usumbufu wake.....lol

Oow mpaka bishanga!! Canta atachanganyikiwa jamani! Let me check asijekuwa amesha faint tayari..
 
Back
Top Bottom