CHONDE CHONDE RUDISHENI MADENI & Pesa ZOOOTE!! Wataniua Jamani……

ww kama wadaiwa nitakulipia.

Wee Mpatanishi acha ujanja!!! Umeona Husny kasamehewa wataka kutoa ahadi hewa?? Mlipie cousin wake Mwali hio Lak 2!! Alafu usidhani nimesahakua kua tarehe 20 mwezi huu unamalizia ile 90 iliyobaki!!!
 
Hahahaha!! Mkuu nasikia uliifanyia shopping yote pale Marcy's Store....halafu Boss anadaiwa 20,000 sijui ilikuwa ya Vocha hiyo...lol..

Macy's wapi arifu...nilienda Nieman Marcus nikafanya kufuru mbaya sana! Now I'm broke as a joke.

Teh teh teh...Boss aliishiwa salio katikati ya mazungumzo na shori ikabidi amtafute Da'Asha....
 
Yaani hiyo hamsini tu ndo unanipigia kelele wakati mimi ndo nimeonyesha uaminifu kwa kuwa na deni dogo?
Sasa kwa hasira jumlisha zote hizo unipe total ngoja nimpigie bepari wangu wa kihaya akulipe in cash.

Kabana tatizo hili deni ni dogo lakini umenizungusha miezi 6 kama Boss alivonizungusha karibu mwaka kulipa hio 20!
 
Macy's wapi arifu...nilienda Nieman Marcus nikafanya kufuru mbaya sana! Now I'm broke as a joke.

Teh teh teh...Boss aliishiwa salio katikati ya mazungumzo na shori ikabidi amtafute Da'Asha....
Hahahahaha!! Umeua arifu..:lol:
 
Macy's wapi arifu...nilienda Nieman Marcus nikafanya kufuru mbaya sana! Now I'm broke as a joke.

Teh teh teh...Boss aliishiwa salio katikati ya mazungumzo na shori ikabidi amtafute Da'Asha....

ndo maana jana mambo ya suti ya mwanakijiji hayakukupiga chenga,sasa ndo uje ulipe hapa.
 
Ayaaaa....hivi yule mangi pale dukani hakukupa hela yaani nilimuachia labda kama katumia kuongezea mtaji kwenye duka lake..lol...ila Nyani Ngabu itabidi aweke gari bond aiseee...

Safari hii your sweet words wont melt this sis.... nina hasira ujue?? Alafu Kuhusu NN sina tatizo... Hilo deni Originally lilikua 20 M.... hapo imebaki chenji tu! lol
 
Muongo wifi wewe.... Atakua tu anamla Nitonye pesa.... nasikia kapata za Mirathi... Ngoja hiyo pesa iishe! lol

Jamani alisamehewa na Sweetie.... What was I to do? lol

Loh mpunguzie na NN maana anatia huruma..
 
Kabana tatizo hili deni ni dogo lakini umenizungusha miezi 6 kama Boss alivonizungusha karibu mwaka kulipa hio 20!

nakuM-Pesa sasa hivi dharau sipendi mie hukumbuki zile skuna nilizokuazima kwenye kipaimara cha mwanao?mwaka wa pili sasa umenyuti,nilinunua spain dola 128 kwa taarifa yako
 
Hahahahaaaaaa! Uwiiiiii nafwaaaaaaa!...lol.

Wifi ujue hujaniaibisha mimi ila umemwaibisha kakako na utajuta kuzaliwa nae tumbo moja...daaah we ni noma.

Hii pesa yote uliikopa ukaifanyia nini mbona sikuiona halafu hukuniambia, ukipelekwa polisi mie simo
 
Back
Top Bottom