Chokochoko za wanawake zimenifanya nisiwe na mpenzi wa kudumu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mimi napenda sana warembo huo ndo ukweli, hata nikienda club nikawakuta wachache naona hapalipi.

1. Tatizo ni pale mpo mchezoni anaanza kuuliza "baby unanipenda, hutoniacha.. aah! tamu".
2. Unakuta upo na marafiki zako mnacheza pooltable mara simu unasikia "upo wapi na nani? Nipe niongee nae, umeshakula? Mbona simu ilikua haiiti?"
3. Akiona jina la kike kwenye simu anaanza matatizo na haelewi
4. Anataka kila saa mshikane mikono mara mabusu hata kama ni sokoni na ukikataa eti humpendi. Niaje bana?.

Mia
 
sisi binadamu bana..usipopendwa unalalamika kua huna bahati ya kupendwa haya ukipata wa kukupenda na kukujali bado mtu analalamika aah huyu ananipenda sana ananiboa mara hivi mara vile...jamaaniii
 
sisi binadamu bana..usipopendwa unalalamika kua huna bahati ya kupendwa haya ukipata wa kukupenda na kukujali bado mtu analalamika aah huyu ananipenda sana ananiboa mara hivi mara vile...jamaaniii

hiyo ni hali ya kawaida. huyu anapata yule anakosa. sio kwenye mapenzi tu. mia
 
Sa km haupendi c umwambie kuw hautak akupgie cm, hautak akuule wap upo na cha zaid hautak awe na wivu na wewe. Me naamin atakuelewa

nikashaona usumbufu huwa siongei nae. naachana naye kimyakimya. simu wal msg sijibu. kwa muelewa anakuwa kaelewa huyu baba hasomeki kaingia mitini. mia
 
Wanakuzuzua tuu hawakupendi wala nini,kama unavyowauzia mbuzi kwenye gunia na wao hivyo hivyo sema wao hawako makini sana kama wewe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom