kutuunganisha how.... si tayari tupo connected... elezea featuresAsanten
SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
Hakuna elimu chini ya jua inayokwenda kwa jina hilo.Asanten
SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
Asanten

Hakuna elimu chini ya jua inayokwenda kwa jina hilo.
Kaanze upya!
Kama hujui kuandika Kiswahili kwa ufasaha unawezaje kufanya "Programming"?
hapa problem ni kwamba inabidi atuambie features zake kama ni bora kuliko kilichopo hapa... ili tumshauri features nyingine na yeye through programming atengeneze na huo ndio mwanzo tu sababu inabidi itumike sana ili agundue bugs na kuzifix, baada ya hapo kuna marketing... in short this is a very complicated job unless agundue kitu ambacho hakipo sasa... hata hivyo kila Bill Gates watamwimbia idea yake... Ushauri wangu kama idea ni ground breaking aifanyie patent na kujaribu kuwauzia the big boys..Ungetengeneza kisha uje nayo hapa utuambie inafanyaje kazi. Au ulitaka utengenezewe?
Asanten
SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
Mimi napenda moyo ulionao wa kujituma ila watu wanaokukosoa ndio tutakufanya uwe mkali zaidi . So dont take criticism personal
Sasa swali langu unaanza kutoa software ina maana hii project ya blog yako chizicomputer imekamilika?
Mi nakuomba kabla hujahamia kwenye software itendee haki blog yako ipe muda na kusighulukia iwe presentable. zaidi.
KAMA UNAHUWEZO WA KOMPUTER AU SHIDA BINAFSI HAPA NDIO SULUTION WELCOME
hii ndiyo heading ya ChiziComputer Blogspot,,lol!! Komaa kaka mwanzo mgumu
Kujua lugha au English / Swahili Literacy is not a requirement in Computer Programming and Creativity Please Guys lets give the Dude all the help we can.... Bashing will not help!!

VoR
Huyu kijana anahitaji msaada mwingine tofauti:
Asanten
SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
Asanten
SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
nategemea kufungua browser software yangu ambayo itaitwa chizicomputer nipeni sapport