Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
kwa kweli wakati mwingine hata mimi najisikia vibaya unapo andamwa na watu. lakini nikichunguza sana naona kama unajitakia mwenyewe.hapo mwanzo nilikuwa nadhani labda ndiyo kanuni yako ya kujifunzia mambo hapa jf kupitia malumbano ili katika hayo uweze kujichukulia point za kufanyia kazi.
pamoja na hayo umeshindwa kunishawishi niamini kwamba wewe ni mtaalam wa mambo ya info tech. kwanini? kwa sababu umeshindwa kuwasoma members wa jf elimu zao na uelewa wao.wewe una force watu waamini tu kwamba wewe ni mtaalamu bila kufafanua what, how,why. hivyo ninakuomba uwe kama mimi msomaji tu inapobidi kuandika topic basi iwe ni kuuliza kitu kinacho kusumbua katika utaalamu wako ninaimani unaweza kuvuna mautaalamu mengi sana humu kama mimi. mtu kama CP na DR PHONE nawengine wengi wamenifanya niwe na uelewa zaidi katika mambo haya ya TECHNOLOGY.
SIMBA MWENDA POLE........? AU WANA JAMII FORUM MNASEMAJE?