Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,156
Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini?

Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako.

Kwanini mwajifanya miungu watu ilhali nyie ni watumishi tu. Hivi kwanini huyo PS wako ni tofauti na ma-PS wengine, au kwa kuwa una uhusiano naye wa kimapenzi?

Tuna ushahidi muda ukifika tutauweka wazi. Huyo PS hajui majukumu yake? Toeni barua za watu.
 
Ohooo. eGA warekebishe mfumo, uhamisho ukiwa approved kwenye mfumo wa ess basi barua iwe auto-generated na kutumwa kwa mtumishi na wahusika wengine kwa njia ya email hapahapo, dawa ya urasimu ni matumizi sahihi ya mifumo ya kumpyuta.
 
Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini?

Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako.

Kwanini mwajifanya miungu watu ilhali nyie ni watumishi tu. Hivi kwanini huyo PS wako ni tofauti na ma-PS wengine, au kwa kuwa una uhusiano naye wa kimapenzi?

Tuna ushahidi muda ukifika tutauweka wazi. Huyo PS hajui majukumu yake? Toeni barua za watu.
Ukiona hivyo ujue kwamba 'mkono mtupu haulambwi'. Aidha, penye udhia penyeza rupia.
Huu ni utamaduni uliopo ktk tawala zote za ki-Afrika.
 
Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini?

Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako.

Kwanini mwajifanya miungu watu ilhali nyie ni watumishi tu. Hivi kwanini huyo PS wako ni tofauti na ma-PS wengine, au kwa kuwa una uhusiano naye wa kimapenzi?

Tuna ushahidi muda ukifika tutauweka wazi. Huyo PS hajui majukumu yake? Toeni barua za watu.
Wakurugenzi miungu watu
 
Back
Top Bottom