Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo
Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k
Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu