Chid Benz amtukana Prof. Jay?

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Msanii Chid benz, amemuita prof jay mpuuzi baada ya prof.jay kumuongelea chid kwenye kipind cha mkasi kwamba alimuombea ruhusa chid kwa mama yake ili aimbe,pia zaid ya kumtukana alitaka kumpiga mbele za watu,hadi walipoamliwa na wa2
SOURCE;CLOUDS FM
 
Huyu prof jay anapenda sn sifa za kijinga mara nyingi huwa anajisifia kwamba yeye amewaombea ruksa wasanii wenzake ili waimbe! Big up chidy benzi
 
Piga ua galagaza ana kipini lakini anatisha.Mzingue uone kama hata hicho kipini utakiona j una ambiwa alipiga magoti
 
Kama ni kweli ni vibaya kusema?

sasa we unavyohsi kwamba prof jay anaweza kumuombea chidy benzy ruhusa au anataka sifa kisa watu wanavyosema yeye ndo kaleta mapinduzi ya huu muziki na ruhusa kwa wazazi anaweza kuwaombea wenzako ruhusa chidy kaanza muziki kwa mapenzi yake na si kwa ajili ya prof jay na kama kuna ukweli kwanini aliomba msamaha mpaka anataka kupiga magoti!?
 
Prof.J. Hakumuongelea kwa nia mbaya, kama kweli Chid ametaka kuleta fujo atakuwa anakosea.
 
Back
Top Bottom