Chid Benz amtukana Prof. Jay?

huyu chid ana kwashakoo ya fikra maana kuna kipindi alipoona jina lake liko juu alijitangazia no ml 1 no collabo leo dunia imemshnda anatafuta ea time kwa vita !
C atafute jina kwa kina matumla !
Tatizo lake ni kile kitobo alichojiongeza baada ya kuona biashara inafanya vizuri.........!
 
Msanii Chid benz, amemuita prof jay mpuuzi baada ya prof.jay kumuongelea chid kwenye kipind cha mkasi kwamba alimuombea ruhusa chid kwa mama yake ili aimbe,pia zaid ya kumtukana alitaka kumpiga mbele za watu,hadi walipoamliwa na wa2
SOURCE;CLOUDS FM

Prof. J is a talented singer.... na hakuna shaka kwa hili...
Chid si mwimbaji ni sharobaro, hajui hata kuoga.... ananuka... kazi kutoboa pua....sikiliza nyimbo za Prof J hata ukiwa mgeni kivipi huwezi linganisha nyimbo zake wala video zake na huyu choko Chid.... chid sura ka msukuma mkokoteni... hana kipaji...
 
sasa we unavyohsi kwamba prof jay anaweza kumuombea chidy benzy ruhusa au anataka sifa kisa watu wanavyosema yeye ndo kaleta mapinduzi ya huu muziki na ruhusa kwa wazazi anaweza kuwaombea wenzako ruhusa chidy kaanza muziki kwa mapenzi yake na si kwa ajili ya prof jay na kama kuna ukweli kwanini aliomba msamaha mpaka anataka kupiga magoti!?

wabongo hatujastaarabika kiasi cha kukubali ukweli hata kama uko wazi kisa umaarufu wa kijinga. sidhani kama kuna hoja ya kusababisha ugomvi hapo ni ushamba uliotukuka...
 
prof jay **** tu mbona ye anakula arv si hatuongei...

We ndo chizi na Dhaifu wa fikra. Suala la ARVs linakujaje hapa. ARVs ni chakula ya watu wengi hata mimi natumia. Mbona TANZANIA inatumia ARVs au hujui? Kama unabisha nenda kapime kama hutashangaa kuambiwa nawewe uanze dozi mara moja.
 
J mshamba tu, kila mtu anafanya game kwa mapenzi yake, hako kamsemo anakapenda sana, hiphop is world wide, labda kama alimuombea kwenye bongo fleva, manake ndio muziki wa J. but when it comes to HIPHOP...J is just a chick.
 
Acheni ushamba na mueleimike na nyie waandishi ama blogers ndo mnapotosha umma,j na chidi ni stor ndefu. Miaka ya nyuma waliokuwa wakifanya music walifahamika toka chidi anatoka kamasi na boxing zake za Ilala boma kwa ticha kinyogoli..msiropoke tuu Kisa upenzi na mtu flani!Jay akusema vibaya wala kutafuta sifa, tatizo wabongo mmezoea kudanganywa.pumbafuu..!!
 
sasa we unavyohsi kwamba prof jay anaweza kumuombea chidy benzy ruhusa au anataka sifa kisa watu wanavyosema yeye ndo kaleta mapinduzi ya huu muziki na ruhusa kwa wazazi anaweza kuwaombea wenzako ruhusa chidy kaanza muziki kwa mapenzi yake na si kwa ajili ya prof jay na kama kuna ukweli kwanini aliomba msamaha mpaka anataka kupiga magoti!?
kwa asilimia kubwa inaweza ikawa kweli kuwa Prof. Jay alikuwa anamuombea ruhusa Chidi kama anavyosema kwani ktk hali halisi Prof. Jay ndie aliyemtoa Chidi kama mnafuatilia siku za nyuma kabla Chidi hajatoka alikuwa anaimba kumpa support Jay kama msanii mwenza akiitikia wakati Jay anaimba na alikuwa anazunguka nae kwenye matamasha mpk mikoani akiwa kama background artist wa Jay.

Tuwe tunawakubali watu waliotutoa kwani bila wao kukufanya uonekane na kukukubali kwa kukushirikisha uenda usingejurikana Jay ni legendary wa Bongo Fleva huwezi kumfananisha na Chid Benz mtoto wa juzi ambaye kwa sasa ameshatoweka kwenye fani

Ukitaka kunielewa chukua albam za Jay toka anaanza ufananishe na za Chid ndio utaelewa na maana gani. Pia Jay ni mkongwe na Chid ni kizazi kipya ambacho kinakuzwa na air time sio talent kama ya Jay ambaye alileta mapinduzi makubwa katika mziki huu na kuupandisha chat mpk level hii uliyofikia, ingawa anaweza asiwe na mafanikio kama vijana wa sasa lakini lazima tumpe heshima yake.
 
We ndo chizi na Dhaifu wa fikra. Suala la ARVs linakujaje hapa. ARVs ni chakula ya watu wengi hata mimi natumia. Mbona TANZANIA inatumia ARVs au hujui? Kama unabisha nenda kapime kama hutashangaa kuambiwa nawewe uanze dozi mara moja.

mie nko safi homie sijui wewe
 
Back
Top Bottom