Chezea wema sepetu....binti ndani ya mjengo

Status
Not open for further replies.
Kama humjui Gang Chomba basi we sio mzawa wa Dar.
Nyie ndio wale mnaoshoboka kuwapamba mapedeshee ili mpate pesa ya kula.

Kabisa mtu na utimamu kichwani hawezi kuandika eti ''Wema unikumbuke ktk ufalme wako''..... Fanculo.

Kama maisha magumu rudisha mpira kwa Kipa, na sio kuanza kujikombakomba kwa watu.

Then hapa ni JF, nina uhuru wa kutia neno ktk thread yoyote ile, ''hiyo kauli yako eti ulitumwa uchangie'' nenda kawaambie waogea kopo wenzio Facebook mnaoogea sabuni ya kipande, hiyo hiyo unaogea, hiyo hiyo unafulia kichupi chako na hiyohiyo unaenda kusuuzia vibilauli na vibakuli unavyolia ugali na utumbo.

Uharo we

the real italian gang..
 
Manyema ha ha ha ha nimechekaaaaaaaaaaaaaaahhh.. ila Mrembo by Nature ni Zamaradi nae aje atueleze kisa cha kuzaa na rizi1..ila Gang Chomb ni mwanaume..dahh umemzodoa Zama

Mtoa mada kakurupuka hata hajatawaza kaja na kinyesi chake hapa halafu anataka kukiita mbolea...
Mbolea mpaka kikauke Mama.
Huo wako ni uharo
 
Mtoa mada kakurupuka hata hajatawaza kaja na kinyesi chake hapa halafu anataka kukiita mbolea...
Mbolea mpaka kikauke Mama.
Huo wako ni uharo
Mbaya zaidi anajamba maputo tu, anadhani stori za kuongea na mashosti wenzake salon ni za kuleta JF. Kala boga macaco.
 
Mbaya zaidi anajamba maputo tu, anadhani stori za kuongea na mashosti wenzake salon ni za kuleta JF. Kala boga macaco.

nimefuatilia posti zako Matola na kisha kuna point moja umeisema hata mi imenibidi niiangalie kwa jicho la 3 lile la juu ya pyramid.

Umeeleza wazi kuwa hawa watu huwezi juwa ni muda gani wako kwenye maigizo au ni muda gani wanakuwa kwenye maisha yao halisi...
 
Mbaya zaidi anajamba maputo tu, anadhani stori za kuongea na mashosti wenzake salon ni za kuleta JF. Kala boga macaco.
Matola Kwani hili jukwaa ni la nini?ukitaka habari zisizohusu maceleb uende jukwaa la MMU kwani hata la siasa utakutana nao tu.... muone vile kichwa kama nazi
 
Last edited by a moderator:
hii ingependeza sanaaa kule facebook au kutangazwa clouds fm na kita ngoma wapuuzi hawa wanaoshinda fb kila siku inbox kuomba pesa.
 
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds tv kwa mapana na marefu ya habari hii.

View attachment 56065View attachment 56066View attachment 56067View attachment 56068View attachment 56069View attachment 56070View attachment 56071View attachment 56072Hongera bi dada, haijalishi u meupataje lakin kikubwa na kustirika. Endelea kupata raha mwaya dunia yenyewe hii na maisha yenyewe mafupi.

Sasa waliokuwa wanasema oohh matanuzi wakati hana hata nyumba wafunge midomo. binti anajiandaa kufungua bonge la kampuni....... mie nakuombea tu heri wema wangu, usijensahau kwenye ufalme wako.

Mrembo by Nature unaomba asikusahau kwenye ufalme wake....si unajua ana falme nyingi...mojawapo TABIA MBAYA!
 
Mrembo by Nature unaomba asikusahau kwenye ufalme wake....si unajua ana falme nyingi...mojawapo TABIA MBAYA!

Ana mpango wa kufungua kampuni moja kubwa sana, asinisahau kwenye ajira na mengineyo mazuri, ila kuhusu tabia mbaya mie sina ushahidi coz watu waweza mpakazia mtoto wa watu ....
 
Tv=diamond,mapazia=mwinyi,sabufa=chazbaba,kitandana godoro=marehem, kabati na vyombo yake=pedeshe,kapet=chada.Endelea na ww kwa unaowafaham
dah, kumbe kuna na mali za marehemu kan..mba hapo...hahahaha, no wonder alilia sana siku ile ya msiba hadi alizirai.
 
Hii sredi Gang Chomba na Matola wasipofanikiwa kumnyamazisha Mrembo by Nature basi ntaamini huyu binti atafaa sana kuwa kampeni meneja wa Mama Ane Kilango.


Unajuwa kuna binadamu wanaishi kwa kujikombakomba kwa binadamu wenzao.
Mtu mwenye utimamu kichwani hawezi kukaa na kusubiri ufalme wa binadamu mwenzie.

Huku tunakoelekea itafika kipindi watu watataka wanunuliwe pedi na Wema sepetu...

Tuliwaona watu kama hawa wakija na kuondoka kama harufu ya ushuzi
 
Last edited by a moderator:
HIVI HAWA WANAWAKE WA KITANZANIA KUJICHUBUA NGOZI NDO WANAONA UZURI. Kama NDO HIVO WANAJIDANGANYA.
 
I LIKE MY WOMEN NATURALLY AFRICAN bEAUTY.
So you like one of these! Beautiful by Nature not Wema type, She is magnetic anyway!
tano.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom