Chezea wema sepetu....binti ndani ya mjengo

Status
Not open for further replies.

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds tv kwa mapana na marefu ya habari hii.

MBILI.JPG nane.JPG MOJA.JPG nne.JPG saba.JPG sita.JPG tano.JPG tatu.JPG Hongera bi dada, haijalishi u meupataje lakin kikubwa na kustirika. Endelea kupata raha mwaya dunia yenyewe hii na maisha yenyewe mafupi.

Sasa waliokuwa wanasema oohh matanuzi wakati hana hata nyumba wafunge midomo. binti anajiandaa kufungua bonge la kampuni....... mie nakuombea tu heri wema wangu, usijensahau kwenye ufalme wako.
 
nice, hopefully she'll get her life together and do something that won't end up making headlines on magazeti ya udaku
 
Isiwe yale ya gari alisema amepewa zawadi na familia kwa kumwacha BF wake kumbe kahongwa na mume wa mtu na baadaye kunyangwanya.
Hongeara mwaya kama ni ya kwako ,hata kama umepanga ila tulia sasa dada ujenge maisha ya kistarabu
 
Wema umejitahidi sana hata kama umevipata hivyo vitu kwa ugumu.
 
Makorokoro yamezidi inakuwa uchafu sasa,ndani hamna nafasi unatafuta kwa kuweka mguu khaa!! Kama hivyo ndio vya kumpea hongera mie simo!! Ila km Nyumba ni yake(ukiacha vilivyomo) hata angelala chini basi binti hongera!!
 
Hii Nyumba nje ikoje??
Isije ikawa ni kajichumba kamoja tu mitaa ya kati ndio maana kalimbikiza kila kitu humo.
 
Tv=diamond,mapazia=mwinyi,sabufa=chazbaba,kitandana godoro=marehem, kabati na vyombo yake=pedeshe,kapet=chada.
Endelea na ww kwa unaowafaham

Senator P!!!!!!!!!!!!!!!! mwache mtoto wa watu hata wewe unayako ila tunakaa kimya tu, tukianza kunyambulisha kila ulichonacho Wema atakuwa afadhali.
 
Sizani kama mavitu mengi, ila picha zimekusanywa pamoja za sehemu tofauti! ila vinaweza kuwa vimezidi kidogo labda sitting room kama ndivyo wema fanya marekebisho kidogo tu. . otherwise sina la kusema! hongera sana! vyovyote vile ulivopata am just one of your biggest follower to say fan sidhani! hongera mradi usitumiwe tu watu wapate masifa kumbe umiliki hawajakumilikisha bado zao! you deserve the best! i was speechless imebd nitulie for some min. . then niseme chochote!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom