Cheti cha kuzaliwa cha mtotosix

Thibitisha unayo yanena pasi shaka!
Kinyume na hapo hizi ntaziita molicious presecutions!

nipo tayar kutoa ushahid popote pale,kuwa wewe si mtanzania.kibaya zaidi ulidisco ukiwa mwaka wa kwanza,hivyo vyeti vyako vya uanashelia ni feki,tunakufanyia kazi,kibaya zaidi unatembea na Mke wa mtu Madame B,kwakua tangu aachike sijampatia taraka.
 
Last edited by a moderator:
daaaaaaaaaaaah i like it.....creativity ntakutafta kwenye mambo flaniflani hiv
 
baada ya speculatiosn nyingi, huyu kudai ni ndugu yangu, huyu kadai mchumba wangu ni dada angu, sasa nimeamua kukata mzizi wa fitina nimeamua kuweka cheti changu cha kuzaliwa hapahapa. kwa iyo ndugu zangu wa ukweli mtani pm...:A S 465:

DISCLAIMER: CHETI HIKI NI FOR ENTERTAINMENT PURPOSES [CREATED BY PHOTOSHOP BY ME]. I WONT BE RESPONSIBLE FOR ANY USES OTHER THAN MENTIONED ABOVE
Hiki.cheti ni Feki cheti kimetoke Msituni ahhhhhhhh kule alipo tupwa Kiongozi wa Ma Daktari Dr Ulimboka? Mimi sikiamini mkuu kwanza tarehe ya kuzaliwa umeweka tarehe tu pasipo na Mwaka uliozaliwa kisha kimetoka mwaka 2015 ahhhh kiongozi gani wa Serikali aliye chapisha hiki cheti Feki cha kuzaliwa? MtotoSix?
 
ilikuwa typing error ila ni halali kabisa mkuu MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we ni jambawaziiiiiiiiiiiiii

ila gfsonwin anajua kuwa mumewe Kaizer ndo baba yako? napita tu.. Kaizer shem hongera
 
Last edited by a moderator:
Kaizer na Erotica walikuzaa lini wewe MtotoSix,
tena unasema mother ni student dodoma sec.
Lol, yote haya ufunge ndoa batili,
hapa hakuna ndoa wala nini hata ukitoa takrima haiwezi kupokelewa.

baada ya speculatiosn nyingi, huyu kudai ni ndugu yangu, huyu kadai mchumba wangu ni dada angu, sasa nimeamua kukata mzizi wa fitina nimeamua kuweka cheti changu cha kuzaliwa hapahapa. kwa iyo ndugu zangu wa ukweli mtani pm...:A S 465:

attachment.php
DISCLAIMER: CHETI HIKI NI FOR ENTERTAINMENT PURPOSES [CREATED BY PHOTOSHOP BY ME]. I WONT BE RESPONSIBLE FOR ANY USES OTHER THAN MENTIONED ABOVE
 
Lol, umezalia guest house,
tarehe ya kuzaliwa hakuna,
mwaka wa kupewe cheti 2015,
mahali mabwepande,
hivi huyo mchumba anataka nini kwako na uongo kama huu.

baada ya speculatiosn nyingi, huyu kudai ni ndugu yangu, huyu kadai mchumba wangu ni dada angu, sasa nimeamua kukata mzizi wa fitina nimeamua kuweka cheti changu cha kuzaliwa hapahapa. kwa iyo ndugu zangu wa ukweli mtani pm...:A S 465:

attachment.php
DISCLAIMER: CHETI HIKI NI FOR ENTERTAINMENT PURPOSES [CREATED BY PHOTOSHOP BY ME]. I WONT BE RESPONSIBLE FOR ANY USES OTHER THAN MENTIONED ABOVE
 
kudadadeki!!! nyie ndio mnaotafutwa!!!

Back
Top Bottom