Cheti cha kuzaliwa cha mtotosix

Morning ubavu wangu charminglady leo nimeamka mapeeema, si unajua leo ndo sikku ya kuja kujitambulisha rasmi kwa wazazi wazaa chema...
 
Last edited by a moderator:
Nimepeleka polisi huko kwa wazazi wako,kwanza nyie ni wavamizi,pili una familia tatu umetelekeza watoto nne umevunja sheria ya nchi,stop order ipo kanisani na nyumbani kwenu tayari,,afu hummer H2 aliyoichukua mzee wako inasemekana unainyemelea ati ukioa upewe zawadi na hiyo tumewaambia wazazi wako kwamba unaangalia zawadi ya hummer badala ya kumpenda changanyalady
 
Kkwetu pazuriii tumewakumbuka dada changanyaradi na kaka mutosikisi mafurupanyabuku kwetu pazuriii tumewakumbuuuuka acheni kuaibisha familia yenu jamani
 
Kkwetu pazuriii tumewakumbuka dada changanyaradi na kaka mutosikisi mafurupanyabuku kwetu pazuriii tumewakumbuuuuka acheni kuaibisha familia yenu jamani

una uhakika na unachokisema? hebu leta ushahidi sio maneno matupu!
 
alilialiiiiiiiiiiiiiililiii asu asu asu asu jaman my shosti hatmae maana watu wanajua kuzikaanga mbuyu
 
ucjali kipenzi, mambo yako poa wangu!

kwanza inabidi muithibitishie mahakama kwa nini mlibadilisha majina yenu halisi sa hv unajiita charminglady ilhali uliitwa na wazazi wako changanyaradi,na kaka yako anajiita mtoto6 ilhali anaitwa mutosisikii na baba yenu anaitwa mzee mafurupanyabuku,,nyie watoto mliozaliwa kipindi cha jakaya mna tabu sana nyie.
 
Wewe ndio unatakiwa uwe wa kwanza kuthibitisha kuwa wamebadilisha majina!
kwanza inabidi muithibitishie mahakama kwa nini mlibadilisha majina yenu halisi sa hv unajiita charminglady ilhali uliitwa na wazazi wako changanyaradi,na kaka yako anajiita mtoto6 ilhali anaitwa mutosisikii na baba yenu anaitwa mzee mafurupanyabuku,,nyie watoto mliozaliwa kipindi cha jakaya mna tabu sana nyie.
 
Rutashoborwa wewwe sio mtanzania kwanza,uliingiaingia tu kutokea korea kusini,,kajisalimishe mahakamani urudishwe kama ni mkimbizi wa kisiasa useme mapemaaa.
 
Thibitisha unayo yanena pasi shaka!
Kinyume na hapo hizi ntaziita molicious presecutions!

Rutashoborwa wewwe sio mtanzania kwanza,uliingiaingia tu kutokea korea kusini,,kajisalimishe mahakamani urudishwe kama ni mkimbizi wa kisiasa useme mapemaaa.
 
Back
Top Bottom