Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa

Mkuu Wangu Enigma,

Heshima mbele bro, sasa lete more dataz maana kuna tunaofuatilia na tunajua kuwa zina ukweli mtupu, tena 100%, weka vitu mwanangu!

Lakini tulikuwa tumenyamaza kwanza ili tuwape mabingwa wetu wa uchambuzi nafasi kwanza hapa naona wamemaliza tayari sasa weka vitu, Lete vitu mwanangu, letaaa dataz!
 
Hapo sasa kazi imeanza....nakumbuka huyu Chenge kipindi kile alitaka kama kumtetea Lowasa na kutaka kuzima hoja ya Bunge Bungeni si mnakumbuka wadau?
Hapo lazima kuna mkono wa mtu si bure ngoja tusubili ukweli ndani ya masaa machache.
Akifa tu Mwakyembe mzee Chenge jiandae kubeba lawama.
 
Mkuu tunaomba sana tunajua mungu yuko nasi katika kutafuta haki. Hili halitatokea
 
Tumezidi kushabikia mambo ya kufikirika na sisi.

Halafu hivi kumbe uchawi bado unatumika kwenye siasa zetu!!? Halafu na sisi tunatarajia tuendelee hivi karubuni?!?! Hatujajua kwamba imani za uchawi ni sumu ya fikra? No wonder viongozi wetu hawasomi vitabu!
 
This is serious accusations nafikiri inabidi tuwape muda huyu aliyeleta habari atuwekee copy ya CD, maana mtu akifa hapo lazima tumsulubu AC, naamini kabisa kama kweli alikwenda tena kwenye ukumbi aliweka sumu ndo maana Mwakyembe aliugua ghafla jana.
 
Tumezidi kushabikia mambo ya kufikirika na sisi.

Halafu hivi kumbe uchawi bado unatumika kwenye siasa zetu!!? Halafu na sisi tunatarajia tuendelee hivi karubuni?!?! Hatujajua kwamba imani za uchawi ni sumu ya fikra? No wonder viongozi wetu hawasomi vitabu!

Mkumbo

Wameisha sema hapa siyo uchawi Mkuu labda ni technologia za kisasa zaidi.
 
Wewe Kitila, utakuwa kiongozi wa Tanzania bila ya kwenda Bagamoyo? Vipi mkuu unafikiri ni bure? Wakuu kina Zitto wanahitaji kukufunda mkuu,

Yaani bila sangoma na songi songi itakuwaje huwezi kuwa hata katibu tarafa vipi mkuu chi yako unakuwa kama mgeni?
 
na Zitto kaingia kwa kalumanzira!! uwiii, ndio maana ufisadi hautakwisha, na watu kuogopa kusema ndoto zao hadharani kumbe ni kuogopa kutunguliwa na mascud...inatisha.
 
mimi siamini kama uchawi unaweza mtu kumfanya ashinde!naamini sera na uwezo wa mtu kuwaconvince wapiga kura wake ndo kunamfanya afanikiwe.Ndo maana unakuta watu wengine wakiona wanaelekea kushindwa wanakatisha maisha ya wapinzani wao!Hivyo basi kwenda kwa karumanzila hakumfanyi mtu ashinde bwana!
 
Mambo ya Kiafrika hayo.
Haya naona shughuli imeanza malizaneni wenyewe.
Kila la kheri.
 
siku moja kaisari aliambiwa na wadaku kuwa mke wake anatembea nje ya ndoa. ili kuhakiki kuwa haya si kweli akaunda tume ya watu mahiri kuchunguza ukweli kuhusu ufuska wa mkewe.

watu wale mahiri wakafanya uchunguzi wao na wakawakilisha ripoti yao kwa bwana kaisai kuwa , uvumi ule kuhusu mama kaisari ulikuwa ni uongo!, kwa mshangao wa wengi kaisari akamtaliki mkewe. watu wakamwuliza kulikoni ewe mtukufu kaisari, kwa nini wamfukuza mkewe kwa mambo ambayo ni ya uongo na yaliyothibitiswa kuwa ni uongo? KAIZARI AKAJIBU KUWA, MKE WA KAIZARI HAPASWI HATA KUSINGIZIWA UONGO KWA TUHUMA KAMA HIZI.

kwamba sasa kuna tuhuma hizi mbele ya andrea chenge ni jambo mahiri kuwa andrea ambaye amewahi kusoma seminari, akawa mwanasheria mahiri na namba moja kwenye enzi au dola kubwa kama la tanzania, kamwe hapaswi hata kusingizia uongo mkubwa hivi! lakini kama yametokea ni wazi kuwa andrea ana haka katabia!
 
Wewe Kitila, utakuwa kiongozi wa Tanzania bila ya kwenda Bagamoyo? Vipi mkuu unafikiri ni bure? Wakuu kina Zitto wanahitaji kukufunda mkuu,

Yaani bila sangoma na songi songi itakuwaje huwezi kuwa hata katibu tarafa vipi mkuu chi yako unakuwa kama mgeni?

Tatizo letu watanzania ni wachache wanaoweza kusema ukweli pale panapohitajika kusema ukweli.
 
siku moja kaisari aliambiwa na wadaku kuwa mke wake anatembea nje ya ndoa. ili kuhakiki kuwa haya si kweli akaunda tume ya watu mahiri kuchunguza ukweli kuhusu ufuska wa mkewe.

watu wale mahiri wakafanya uchunguzi wao na wakawakilisha ripoti yao kwa bwana kaisai kuwa , uvumi ule kuhusu mama kaisari ulikuwa ni uongo!, kwa mshangao wa wengi kaisari akamtaliki mkewe. watu wakamwuliza kulikoni ewe mtukufu kaisari, kwa nini wamfukuza mkewe kwa mambo ambayo ni ya uongo na yaliyothibitiswa kuwa ni uongo? KAIZARI AKAJIBU KUWA, MKE WA KAIZARI HAPASWI HATA KUSINGIZIWA UONGO KWA TUHUMA KAMA HIZI.

kwamba sasa kuna tuhuma hizi mbele ya andrea chenge ni jambo mahiri kuwa andrea ambaye amewahi kusoma seminari, akawa mwanasheria mahiri na namba moja kwenye enzi au dola kubwa kama la tanzania, kamwe hapaswi hata kusingizia uongo mkubwa hivi! lakini kama yametokea ni wazi kuwa andrea ana haka katabia!

Huyo Kaisari alikuwa kubwa jinga kweli kweli.
 
Serikali yetu haiamini ushirikina lakini si jambo geni kwa baadhi wabunge hao, wanajulikana sana kwa ushirikina, yanasemwa mengi sana kuhusu ushirikina wao

Wabunge wengi wanaamini ushirikina. Niliambiwa miaka kadhaa imepita Mh moja aliua mama yake ili apate ubunge.
Wasiwasi yangu ni kwamba huu wa Mh Chenge unaweza kuwa uchawi wakizungu kama slow poison vile hata kama huamini uchawi ( kama Mh.Mwakyembe) unaewza kukupata.
 
Back
Top Bottom