chemsha bongo

Andrew john

Senior Member
Mar 10, 2009
110
121
umri wa juma wa sasa ni miaka 5 zaidi ya umri wa ally.tafuta umri wa juma miaka mitano ijayo. iwapo jumla ya miaka yao kwa sasa ni 35
 
miaka mitano ijayo Juma atakua na miaka 25 kwa sababu kwa sasa anamiaka 20 na Ally anamiaka 15
 
haya mambo ya Shule ya Msingi

Jaribu hii

Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje.

How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia.
 
Kama Umri wa Ally kwa sasa ni X Juma ni X+5
Hivyo basi X + X+5 = 35
2X + 5 = 35
2X = 35 - 5
2X = 30

X = 15
Hivyo kwa sasa Juma ana miaka 20 na Ally ana miaka 15
Miaka 5 ijayo Juma atakuwa na 20 + 5
= Miaka 25
 
Simple!
Unaweka taa (Bulb) za rangi tofauti! Taa ya kwanza nyekundu, taa ya pili njano na taa ya tatu bluu!

haya mambo ya Shule ya Msingi

Jaribu hii

Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje.

How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom