Chemsha bongo

Gundi ya maji!!! :doh: mbona zinapatikana miingi tuu kutoka china na sehemu mbali mbali duniani..halafu tumia kiswahili basi kinachoeleweka mheshimiwa
 
Hamna Gundi ya Maji duniani.Zote zinaitwa Gundi na sio Gundi za maji.Kiswahili fasaha hamna kabisa gundi ya Maji.Gundi zote ni za kiminika na sio za maji
 
gundi ya maji? Haiwezekani kuyagundisha maji. Hukuhitaji 30mins bali 30years kutupa jibu.
 
Jaman polen nliweka ile cku ndan ya 30min ckupata jib nkauliza vp? Jib ni friji ndo linagandisha maji hizo nyngne mtajua zinagundisha nin
 
Jaman polen nliweka ile cku ndan ya 30min ckupata jib nkauliza vp? Jib ni friji ndo linagandisha maji hizo nyngne mtajua zinagundisha nin

Kwa hiyo pale kileleni mlima kilimanjaro kuna ma-friji eeeeeh.......kumbeeee.....:lol:
 
nanihiiiiiiiiiiii, nini tena !!! aaaaaaahh ngoja niende kwa da Dena nikamnongoneze jibu alitaje!!
 
msaada wa tofauti ya kugundisha na kugandisha pls, maana me naona friji inagandisha ila gundi inagundisha
 
Mapopompo tuko wengi, lakini kwa kiswazi uchwara changu "Kugundisha" haipo kitaalamu bali akina sisi ndo tumeitengeneza (tumeweka viambishi aka affixation) kutoka neno gundi, kwa hiyo mtu anaposema kugundisha ana maana kuwa gundi imetumika. Lakini neno sahihi nadhani ni kugandisha ikiwa na intension ya kuhold together, jenga tu taswira ni ngumu kueleza. Lakini ni mtazamo wangu tu msininukuu vibaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom