Chemsha akili upate jibu sahihi

hii kitu nilishawahi kuisikia na majibu yake pia ila nimesahau. Ngoja nifikiri tena
 
Swali limekosewa...ilitakiwa iwe neno linaanza na H alafu lina herufi sita maana jibu lake ni HAKUNA...
Polen kwa kuchoshwa wakubwa!
 
chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (m) kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, je, ni kitu gani hicho?


samahani ..hebu rudia kidogo sijasikiliza vizuri swali lako
 
[h=5]Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?[/h]

Kitu unachokielezea hapo ni cha kufikirika wala hakipo.Hivyo jibu lake ni 'MFANO'
 
[h=5]Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?[/h]

khaaa...!! hili swali uliweke kwa sauti linaweza kuwa easier, otherwise, mdakoooo....!!
 
Hiyo kiboko tumuulize mpoki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
[h=5]chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (m) kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, je, ni kitu gani hicho?[/h]

yaan mie hadi leo sijui jibu, tatizo nilipenda maths kuliko kiswazi, ebu nisaidieni...
 
Mh...!!!! Hebu fafanua hii MAUTI kivipi kwa kila hatua kama swali lilivyoeleza

Mauti inaanzia na herufi M.

Ni halal kwa kila mja kumfika mauti lkn ni haram kwa mja kujiua

Wanaume huenda makaburini kuzika moja wapo kati ya mara 3 kila siku. Yani asubuhi, mchana au jioni lkn mwanamke huenda mara moja tu kwa kuzikwa. ( hii kwa mujibu wa dini ya kiislam.)

Nyeupe kama barafu ni kwa wale waliotenda mema, mauti kwao huwa baridii bila machungu mengi.

Na nyeusi kama usiku ni kwa wale waovu, mauti kwao kwao huwa kizaazaa kama usiku wa giza totoro.

Nambie, nimepata au nimekosa
 
Back
Top Bottom