Chemistry and Love within JF

vipi ukiambiwa mwanajamii one ni mwanaume tena injinia wa mlimani tena anaenda gym kila siku utasemaje?
hahahahahahahahahahahahahahahahahhahah etetetetetetetetetetete kwikwi kwekwe. De Novo u made my evening Sir
 
Heheheheheeee...si ndio hapo sasa. Haya mambo ya kwenye mtandao ni mambo ya burudani tu. Ukiyachukulia serious utakosa raha bure!

Hahahaaaa sipati picha WOS ndio mrisho mpoto (joke:D) na binti maringo ndio zitto

hahaaa
 
Na ukiambiwa chamtumavi ni mwanaume alafu unakaa una fantacize umbile lake utafanya nini?..utageuka kuwa homosexual?
 
Tafadhali kijana Binti Maringo ni Binti...temea mate chini De Novo!.....Mimi ni binti na nina sauti nyororo na ninavaa skin jeans and sun dress....messege delivered....

Mmh instinct zangu zinaniambia De Novo ni Lady Jaydee!...Bisha...
 
hahahaaaa mhinza.... unditovela tu sekaa!!!

ndimi mdimi!!!
 
Na ukiambiwa chamtumavi ni mwanaume alafu unakaa una fantacize umbile lake utafanya nini?..utageuka kuwa homosexual?

Ndio maana nimesema ni mambo ya burudani tu. Unaburudika hapa na kuyaacha hapa hapa. Usikakaribishe nyumbani mastranger unaokutana nao kwenye mtandao. Utakuja kuchinjwa kama mbuzi.

NB: Na hata ukigeuka homosexual hakuna ubaya. Homosexuals ni binadamu kama wewe na mimi.
 
Ndio maana nimesema ni mambo ya burudani tu. Unaburudika hapa na kuyaacha hapa hapa. Usikakaribishe mastranger unaokutana nao kwenye mtandao. Utakuja kuchinjwa kama mbuzi.
Kuna ukweli hapa lakini sio 100% kuna watu wastaarabu sana mitandaoni ila tahadhari ni muhimu sana kwa kila mtu.
 
Oh yeah....sio kila mtu ni mbaya. Cha muhimu ni kutumia busara na maarifa ya kawaida (common sense). Kwa sababu hata uraiani unaweza ukakutana na chinjachinja vilevile akakutia bisumilahi kama ng'ombe.
 
Ndio maana nimesema ni mambo ya burudani tu. Unaburudika hapa na kuyaacha hapa hapa. Usikakaribishe nyumbani mastranger unaokutana nao kwenye mtandao. Utakuja kuchinjwa kama mbuzi.

NB: Na hata ukigeuka homosexual hakuna ubaya. Homosexuals ni binadamu kama wewe na mimi.

Bravo! clap clap!....at least ume- make sense sasa hivi!......keep on drinking that kool-aid...
 
Oh yeah....sio kila mtu ni mbaya. Cha muhimu ni kutumia busara na maarifa ya kawaida (common sense). Kwa sababu hata uraiani unaweza ukakutana na chinjachinja vilevile akakutia bisumilahi kama ng'ombe.
Yap OPP ni kweli kabisa lakini unaweza kuwa mmoja wa Wapwa wanakutana pasipo uoga wala wasi
 
Aaaa na wewe bana. Utadhani tuko Mafinga bana....aaah...sio wote wala mbwa humu....lol

Acha kuonea wivu lugha za watu kwi kwi kwi kwi!....najua hapo unatamani kujua maana yake hahahaha ulie tuu!...alafu miye sitokei mafinga bana...Natokea kihesa kilolo....
 
Kihesa na Mafinga si huko huko tu....

Na huyo msukuma wako namwonea huruma. Usikuta ushamlisha t-bone steak ya mbwa....astaghafururahhhhh
 
Yeha ni mkoa huo huo...but unfortunetely mimi sitokei Mafinga sasa....

Haaa Msukuma ameshafila mwisho wa reli Iringa akasema siendelei tena naishia hapahapa (Mtakuja).....Hna usiombe kula nyama ya mbwa ni tamu sana...ina minofu na kukufanya uwe healthy! si unaona wahehe tulivyo tupo juu!!!.....Kila mtu anataka kuoa mbena/mhehe kwa tabia aah ndiyo usiseme kabisa....uwii Navalonge swela....
 
au ndio wa kibena... tanwat!!! kama yule MTM alivyosema?
 
Back
Top Bottom