Chemistry and Love within JF

Its impossible. Unazungumzia Chemistry na love...? unafeel lust wewe. Labda umesoma Mills and Boon kibao. Wengine wanaweka avatar of their aspiration na ni tofauti kabisa na their appearance. Looks can be deceptive.... Jaribu umuone upclose and candid.
 
Mh, Mills na Boon ndio nini?
icon_rant.gif
 
DN nitafute nitakupa details...
Mie nimesoma uswazi ila darasa la pili nilisoma kwa muda gangilonga tulikua tunakaa kleruu iringa (si unakumbuka enzi zile unaweza kusoma kwa muda??)

Kitabu cha kizungu nilikuja kusoma darasa la nne/tano kile cha kalagesye... na vile vya kiada

tambaza na pondi tulikua tunatafuta mihogo ya kuchoma na ya kuchemsha respectively...

enhe... hivyo vitabu ntapata wapi ili wanangu wavisome?
 
DN Kama unendaga Nai basi waweza vipata Textbook Centre kule Sarit Centre
 
Thanks WOS, lazma nikachukue wiki ijayo... hebu nitajie vichache zaidi ili nikafunge duka kabisa

I wish tungekua na bookshops kama zile bongo!!!
 
Onyo: Objects in the mirror are closer than they appear! People in JF sounds very nice and sexy than they actually are! so DO NOT FALL for an avatar!!
 
Ok japo sijui umri wa wasomaji lakini kama ni classics unataka - tafuta vitabu kama vya Emily Bronte , Charles Dickens,pia tafuta vya Enid Blyton
Halafu kwako wewe pia tafuta vitabu vya Oscar Wilde....hizi siyo Novels kama za akina Sydney Sheldon which are also good.

Halafu usisahau kuwa na collection ya Shakespeare.... good for your home library.
 
Onyo: Objects in the mirror are closer than they appear! People in JF sounds very nice and sexy than they actually are! so DO NOT FALL for an avatar!!

Ni kweli kabisa MMM, hiyo warning ni super disclaimer!!! Kuna avatar na lugha humu mpaka unachoka na roho.... Luckily, it end up here in most cases... right!?:confused:
 
Wakati mwingine naamini maandishi ya mtu na avatar yake vinamfanana, so inakuwa rahisi kuhisi jambo. Infact ndani ya jukwaa hili nahisi carmel kafanana na avatar yake. Inanisababishia kumfeel
 
Ahahahahahahahahaaa...ndugu angalia usije ukaingia mkenge. Hapa si mahali pa kutafutia mwenza na huwezi ukamjua mtu au kuhisi mtu huyo yukoje kwa kuangalia avatar na kusoma maandishi yake. Beware.
 
huwa inatokea, mkuu
 
Ni kweli kabisa MMM, hiyo warning ni super disclaimer!!! Kuna avatar na lugha humu mpaka unachoka na roho.... Luckily, it end up here in most cases... right!?:confused:

ili kudemand the best na wewe pia uwe the best..
isije ikawa tunaowaponda na wao wanatuona vituko...
 
actually my comment was non exclusive...:D ukimiona utacheka, there is no way nafanana na Dre hata kwenye ndoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom