Maoni yangu : Chelsea hamna kocha, huwezi kumuweka azpiculeta namba 11 alafu a.cole namba 3 wakati hakucheza mechi nyingi tu za ligi so hakuwa katika kiwango kizuri hii ni kuonesha kwamba hakuwachukulia serious a.madrid kosa la pili huwezi kumuweka luiz middle na ramires wote wakabaji wakati oscar yupo benchi?? Katika mechi ambayo unahitaji ushindi na kushambulia Then hazard umchezeshe namba kumi hizo akili au matope? Alafu schurle unamwacha nje.

Hizo formation zake zikikubali, basi ndo misukule yake ndo inaanza kumwita "master tactician"
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!

ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!
 
weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chelsea Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!

ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

Kuna mtu amehack akaunti ya Ntuzu. Ntuzu ninayemjua siku zote hulia kama maureen like father like son
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!

ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

pole mkuu ila bora mmetoka coz mngeenda kuharibu ladha ya fainali kwa mpira wa morinho anaotegemea wa kupaki basi.
 
Back
Top Bottom