jitihada haizidi uwezo mlistahili kufungwa.
Maoni yangu : Chelsea hamna kocha, huwezi kumuweka azpiculeta namba 11 alafu a.cole namba 3 wakati hakucheza mechi nyingi tu za ligi so hakuwa katika kiwango kizuri hii ni kuonesha kwamba hakuwachukulia serious a.madrid kosa la pili huwezi kumuweka luiz middle na ramires wote wakabaji wakati oscar yupo benchi?? Katika mechi ambayo unahitaji ushindi na kushambulia Then hazard umchezeshe namba kumi hizo akili au matope? Alafu schurle unamwacha nje.
Wachawi mpo wengi sn humu hivi timu zenu zimefika wapi????
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!
ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

Teh teh teh teh teh tehteeeh! Ts a road to London and not Lisbon.
Tehtehtehtehtehteh.
Ni Mimi mwenyewe Mkuu!
Nimekubali Mkuu!