hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,178
- 963
Nadhan alijua Atapigwa na city so akaamua kumlinda Kwa ajili ya mechi zijazo.Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80