Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80. Walikuwa wanambeza Conor Gallagher wako wapi?
Nimemuinulia mikono Ghallagher. Anacheza kama timu mali ya baba yake ,
Hamna anayevuja jasho kama yeye pale Chelsea
Tungemuuza Spurs au Newcastle wangeenda kumfanya kuwa beast na wangesumbua sana epl ,kwa pumzi ya yule dogo
Big up sana ,
 
Nilichogundua wengi hawafuatilii mpira kiundani wanaangalia juujuu tu hasa magoli. Ndio maana comments za kumponda Gallagher zilikua nyingi. Ila kama wengi tungekua tunafatilia mechi in deep lawama zisinfekua nyingi kwa Gallagher.

Dogo ni mchezaji mzuri sana toka alipokua kwa mkopo Crystal Palace chini ya Vieira. Alipata mechi nyingi na dakika za kutosha so mpaka mkopo wake unaisha alikua kashatosha ila kinachowaathiri wachezaji wengi ni badili ya makocha haimpi mchezaji nafasi ya kuonesha alichonacho. Ndicho kilichomkuta Gallagher. Sasahivi confidence anayo, energy, na uzuri anajua.
 
Ilikataliwa
 
Attachments

  • Screenshot_20231112_215835_Instagram.jpg
    Screenshot_20231112_215835_Instagram.jpg
    43.4 KB · Views: 3
Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80. Walikuwa wanambeza Conor Gallagher wako wapi?

Issue ya Galagher ni kocha. Kwa makocha waliopita walishindwa mtumia mpaka kuonekana kama hafai vile

Ila kwa Pochetino Galagher amekuwa tofauti sana katika mchezaj bora wa msim kwa klabu yetu yuko pale yeye,raz na palmer

Galagher niwale viungo ambao mguuni hawana mambo mengi
 
Tulichokuwa tunakililia sasa hiv Poch anakifanya na matokeo yanaonekana

Mwanzon ilikuwa upuuzi wa hali ya juu kumchezesha Enzo 10 na Chilwell 11
Huku njee ukiwa na Palmer na Mudryk

Tangu ameanza kuchezesha wachezaj kwenye mafasi zao sahihi matokeo yameanza kupatilkana

Kitu cha kuimprove
1. Dhidi ya team zinazopark bus (low block) namna ya kuzifungua na kiwa clinical game dhid ya Brentford Palmer alitengeneza chance 3ambazo zilipaswa kuwa magoal

2. Mipira ya juu -Inatutesa sana kwenye kujilinda hasa hasa hiz free kick. Tunahitaji kuwa vizuri hapa
 
Kwan huyu refa Anthony Taylor huwa ana ugomvi na Chelsea? Alafu so ameshushwa daraja mpka Championship huko imekuwaje amechezesha leo?
 
raz ndio nani?

Back
Top Bottom