Sio Leo tu siku zote tunakichafua against wakubwa wenzetu au ushasahau dhidi yenu mpaka mkaomba mpira uishe
😆😆😂😂

Mechi zote Chelsea nilizotazama
Sijaona mechi bora kuzidi final ya Carabao na FA tulocheza

Yaani nikisweat sana zile finals
Nilitokota.


Mmeupiga mwingi leo mashemeji zangu...
Yaani hapo nngemtandika kipara mlikuwa mnatupandisha kileleni
 
Ambao hawakiona magoli ya The blues waone hapo.View attachment 2812044View attachment 2812048
1699815390765.gif
View attachment 2812049
 
Back
Top Bottom