Hazard Kashabeba EPL, Kashabeba FA.. Kwahiyo Chelsea hajabakisha Kitu! Sasahivi Anahitaji CL Na Pesa tu..
Kwahiyo Niwazi Kuwa Anaona Njia Rahisi Ya Kupata Pesa za Kumwaga pamoja na CL Ni Madrid Mkuu...
Nakuhakikishia Hasaini kataba Mpya.
Na Asipouzwa Basi ataondoka Bure Kwenda Real Kama De Gea atakavyoondoka Bure Man United.
Hata akiondoka bure ameshatuletea faida hakuna shaka
 
Amsainie Nani? Nyie Jifanyeni Kukataa Hela Za Real Madrid halafu Mwakani Aondoke Bure Muishie Patupu!
Hazard bado ana miaka 2 mpaka 2020. Real Madrid wakimtaka wamchukue kwenye dirisha dogo kwa dau la paundi mil200 au kama hawataki wapite kule tutampa mshahara wa paundi 300,000 kwa wiki na miaka mingine 4 juu
 
Huo ni uonevu wa Hali ya juu!!
Sanchez anavuta 500K per week halafu unataka umlipe Hazard only 300K ?????
Seriously!
 
Ndugu zanguni mpo?
Mbona mmepooza sana na Yuropa League yenu?
Najua mnatuogopa sana kwa sasa!
Kule Keita na kule Fabihno
Mbele wale wanyama watatu ni shida kwa kweli!
Nani haya bado hayaogopi Majogoo ya Anfield
Nani hayaogopi Majogoo?
 
Kipimo chenu ni ubingwa la sivyo hakuna cha majogoo Bali mtetea tu
 
Back
Top Bottom