Wakuu Samahanini Naomba Kuwauliza!!! Inamana Matokeo Ya Jana pamoja na Goli la Kante Ndiyo Mumesha-judge msimu Mzima itakavyokuwa! si Ndiyo?
Uelewa mdogo tu ndo shida. Ila nimesema kwa mfumo huu mpya tegemea kuona Kante akifunga magoli 5-8 tofauti na tulivyomzoea
 
Wakuu,inasemekana eti Arsenal waliwaonea wivu sana zile mbili mlizochabangwa na City, leo wameamua kuzilipa.
 
Liverpool leo wamemfunga westham timu yenye nusu ya wachezaji ambao ni wapya kabisa. Ukijumuisha na kocha wap Pellegrino

Wanaona kama ligi ishakuwa nyepesi. Bado ni mapema sana..
 
Kitu gani hujapenda?
Chelsea wamecheza kwa kujiamini mpaka wakawa wanafanya silly mistakes za hapa na pale hasa kwenye kupoteza mipira hovyo hovyo. Kwa kiwango cha wachezaji Che alionao hawakutakiwa kupoteza mipira ovyo hasa kipindi cha kwanza
 
Kaa
Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.

Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.
Kaanza na kamoja
 
Wakuu Samahanini Naomba Kuwauliza!!! Inamana Matokeo Ya Jana pamoja na Goli la Kante Ndiyo Mumesha-judge msimu Mzima itakavyokuwa! si Ndiyo?
Ngwaba hamia tu huku kabisa maana naona muda mwingi unatumia huku kwetu jamvini kuliko kule uani kwenu
 
jana our defensive was Good enough to protect him,lakini angalia mechi zake za nyuma akiwa Atletico Bilbao ndo utajua nini namaanisha....
Atletico Bilbao ni timu ndogo huwezi pima uwezo wake wote. Hata Degea, Courtois na Alisson wakienda kuidakia Bilbao watakuwa worse kuliko Kepa
 
Chelsea wamecheza kwa kujiamini mpaka wakawa wanafanya silly mistakes za hapa na pale hasa kwenye kupoteza mipira hovyo hovyo. Kwa kiwango cha wachezaji Che alionao hawakutakiwa kupoteza mipira ovyo hasa kipindi cha kwanza
Sarri sio mtu wa kukaba ni mwendo wa kushambulia tu
Tegemea kuiona siku zote
 
Mashaka ya Chelsea bado iko mbele Hazard na wilian wanahitaji watu wa kasi, mipira mingi ya Wilian inapotea kwa sababu hakuna mshambuliaji wa kasi
Nimeshangaa sana Sari hakusajili striker hata mmoja, Mimi ndo ningekua Sari basi Giroud angakua striker namba moja
 
Na ww pamoja na goli la sturidge ushaona kuwa ni bingwa

Kumbuka chelsea ndio tuliwanyima ubingwa 2013/2014

Hivyo inabidi utuheshimu

Wewe Utakuwa Ni Mgeni Kwangu! Hebu Uliza Mimi Nimeshawahi Kujitangazia Ubingwa Katika Ligi Yoyote?
Mimi siamini Utabiri Bali Naamini Kinachoendelea Mkuu.
 
Na ww pamoja na goli la sturidge ushaona kuwa ni bingwa

Kumbuka chelsea ndio tuliwanyima ubingwa 2013/2014

Hivyo inabidi utuheshimu

Na Hata Mwaka 2005 ukiwa Na Kikosi Bora Kabisa Katika Historia Ya Timu ambacho Kilimaliza Ligi kwa Kufungwa Mchezo mmoja tu! Ni Liverpool Ndiyo iliyokuzuwia Kubeba Ubingwa Wa Champion League Kwa Kukutoa Wewe Kwenye Nusu Fainali.
Namaanisha Kwa Timu uliyokuwa Nayo ungelifika Fainali na AC Milan ungelibeba Kombe.

Kizuri Zaidi Ni Kwamba Liverpool ilipokuzuia ilibeba Kombe! Je Wewe Ulipoizuia Liverpool ulibeba Kombe?
 
Back
Top Bottom