chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 2,908
- 3,090
kitambo ulikuwa wapi?Mechi 5 zinazofuata ni point 15 za nguvu
kitambo ulikuwa wapi?Mechi 5 zinazofuata ni point 15 za nguvu
ungejibu swali lake ingependeza zaidiKwani nyie mmebeba mara ngapi?
Kumbuka 1989 mlishuka daraja
Huu mfumo bado ni mpya kwetu. Bado tunauboresha, tukikutana na timu kubwa ndivyo mapungufu yanakuwa mengi, na ndivyo Conte atakavyoyarekebisha. Cahil ni dhaifu ndio maana Alonso anaonekana dhaifu pia, Alonso anatumia muda mwingi kumsidia Cahil upande wake. Nafasi ya Cahil awekwe Zouma
Hahahahaaa
Mentor bhana umenichekesha kweli.
Lkn pamoja na kua huyu jamaa ana tabia za ugomvi na vurugu, ktk hizo vurugu na city alikua ni MTU Wa amani akiwasihi wote watulie wawe na amani
sijui nani amemcansell huyu jamaa yaani zaidi ya mechi 6 bila yellow card imenishangaza sanaAmebadlika sana aisee.
Yaani nilivyoangalia video clip inayomuonesha akitoka spidi kuja eneo la tukio akilini mwangu nilikuwa nikiwaza kuwa "sasa kipele kimepata mkunaji" halafu eti akafika akawa anampoza Fernandinho...duh sikuamini!
Viva Conte...nahisi sasa tunaweza kuwa na kocha atakayevunja rekodi ya kukaa nasi kwa muda mrefu!
sijui nani amemcansell huyu jamaa yaani zaidi ya mechi 6 bila yellow card imenishangaza sana
counselling aliyopewa diego hadi kuacha vurugu zake zile nadhani akiendelea hivyo timu itafanya vizuri
counselling aliyopewa diego hadi kuacha vurugu zake zile nadhani akiendelea hivyo timu itafanya vizuri
sijui nani amemcansell huyu jamaa yaani zaidi ya mechi 6 bila yellow card imenishangaza sana
Amebadlika sana aisee.
Yaani nilivyoangalia video clip inayomuonesha akitoka spidi kuja eneo la tukio akilini mwangu nilikuwa nikiwaza kuwa "sasa kipele kimepata mkunaji" halafu eti akafika akawa anampoza Fernandinho...duh sikuamini!
Viva Conte...nahisi sasa tunaweza kuwa na kocha atakayevunja rekodi ya kukaa nasi kwa muda mrefu!
Hadi "cahili" kwenye post match interview aliliongelea hilo, conte kambadilisha sana diego, huwa anamwambia acha miguu iongee, ndo maana hata kwenye zile vurugu akina fenandinho wanaleta ubabe wa ki-old school, yeye diego akageuka "mpatanishi".Unajua watu hawakukosea kusema Maji hufata mkondo.
Conte sio kocha Mwenye kupenda vurugu au magomvi au bifu za kipuuzi. Sasa mkiwa na manager Wa hivyo lazima Ata nyie staff wake muwe hivyo.
Kunguru kukunyea Muhimbili sio kama ana shabaha
Kabahatisha tu
Anye decisive goal cant derail MAJOGOO's clear path to be a new KING of EPL 2016/17!
Just a matter of time tu mtanyooka hapa wote
I pay due respect for Conte,ni kocha mzuri mtakuwa wa pili!
Mekuchapa kwakoHii ni kawaida ya majogoo kila mwaka utasikia huu ni mwaka wetu
Keeper aiicheza chini ya kiwangi na ni kitu cha kawaida kwenye soka
Lovren na Lcas hamna match
Lkn mtaalam Matip yupo fit sasa
MAJOGOO hatupotezi tena hadi nachukua kombe langu May 2017
Mekuchapa kwako
Unakuja kwangu nakupiga tena!