Ni sawa tu hatujui wanapitia hali gani tangu vita imeanza,yote ni sawa tu
Yani mi kwakweli hata roho hainiumi kwa hali tuliyonayo Chelsea kwa sasa kisaikolojia ya kutengwa na Bosi wetu Abrahamovich lakini bado kuna kenge wanakenua meno ilihali kiuhalisia wanaelewa kabisa Chelsea imejitahidi hata kufikia hatua hiyo na laiti ingekuwa ni timu zingine sijui sasa hivi zingekuwa wapi
 
Real Madrid wachumba tu, tunaenda kushinda 4 bila pale kwao.

Au mnasemaje THE BLAUZ wenzangu?

In Tuchelewe we trust.
Madrid wamenikera sana, wanashidwaje na katimu kadogo kama Brentford.
Maskini OllaChuga Oc hataonekana hapa wiki nzima, muda wote atakua anashida kule kwenye jukwaa la vipodozi na makeup
tapatalk_1260956745_360x450.jpg
 
Back
Top Bottom