Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,678
- 2,882
Benzema tayari kachukua mpira wake hapo darajani kweli hapa team hakuna
🤣🤣🤣🤣Hatimaye benzema kamaliza pakiti tatu za condom aina ya dume OllaChuga Oc
Ameniagiza k vant MDA huuu naona ataongeza pakit ya pili
Mmeanza kuona madhara ya vita vya urusi eeh!!Ule upande wa Azplicueta bora aingie tu Alonso...
Naona kama hamna msaada hivi.
Wanatafta sababu ya kusema hatuna mafuta ya kwenda bernabeuOllaChuga Oc Cash Money Forever sasa mtaenda asantiago Bernabeu kufanya nini?
Vita ya urusiChelsea mtakuja na visingizio vipi? Tunawasubiri.
Machafuko ya Ukraine na UrusiOya Kuna Nn Kinaendelea Huko?
Hatari SanaMachafuko ya Ukraine na Urusi
Ule upande wa Azplicueta bora aingie tu Alonso...
Naona kama hamna msaada hivi.