Teh teh teh......saa4:45 goma linaaza utakua mabibo ya wapi nije tucheki mechi wote?

Sipo Dar kwa leo kaka!Nipo Ifakara lkn soka nitaliangalia hapa mission

Hili ndiyo kombe pekee ambalo lipo within ur reach mengine haya 2(EPL & CL) yanaonekana kama yameisha waponyoka!

Msipo vuka leo itakuwa another trophy-less season
 
Nani anaongoza EPL? Chelsea ameshatolewa kwenye CL? LFC ndio hawana kombe zaidi ya hili la CO na hili ndio msahau kabisa maana mtapigwa kipigo cha mbwa mwizi................
 
Nani anaongoza EPL? Chelsea ameshatolewa kwenye CL? LFC ndio hawana kombe zaidi ya hili la CO na hili ndio msahau kabisa maana mtapigwa kipigo cha mbwa mwizi................

Ninacho jua ni kuwa leo mtautafuta sana kwa tochi

Nani atashinda mm sio Sheikh Yahaya
 
Ninacho jua ni kuwa leo mtautafuta sana kwa tochi

Nani atashinda mm sio Sheikh Yahaya

Hahahahaaaaaa tulikja kwako ukashindwa kutufunga kwetu ndo utaweza? Kumbuka Mou vitimu vidogo vinaweza kumsumbua lkn timu kubwa lazima heshima ilindwe....LFC hajaifunga Chelsea ktk michezo 6 ya hivi karibuni....kwa hiyo na leo utaendeleza uteja tu....
 
Sawa. Lakini yaweza kuwa kinyume chake pia. Yaani, kipigo kilichopita kikazaa kipigo kingine.

Yaani miye niwaombee heri rentboys ama?!?

sikatai kipigo kinaweza kuzaa kipigo kingine. lkn hiyo haitokuwa a blessing in disguise. na siamini sana kama kipigo kile kitazaa kipigo au vipigo vingine. na ikitokea hivyo itabidi crisis controls zianze. sioni sababu ya kuanza kwa vipigo wakti timu kwa ujumla ianfanya vizuri sana tena kwenye multiple fronts. hakuan haja ya ku raise alarm belts. all is going on well tena very well. na ndio maana kufungwa juzi kumekuwa news kubwa sana coz all has been going on very well.

ile ni one off shock ambayo leo tunaanza kuisahau na by J2 ijayo tutakuwa tumeshaizika completely.
 
Mmmmm Liverpool!!!?
 
Attachments

  • 1422349204098.jpg
    1422349204098.jpg
    9.7 KB · Views: 68
Asante sn mamito everlenk....nahisi leo utakua umechoka hivo hutaweza kuangalia mtanange....

Leo choka mbaya,hapa najitahidi niwahi kufika home nipumzike nikiwahi tunaweza kuwa pamoja hapa ,hili game ningependa nisihadithiwe nione live.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom