Wachezaji walio na mchango wa mabao 40+ duniani msimu huu.
• Kylian Mbappe
• Cole Palmer
• Harry Kane
• Erling Haaland

Je! unajua ni ajabu kiasi gani ili kuwa miongoni mwa wachezaji hao hapo juu katika msimu wako kamili wa kwanza kabisa?
Hongera Cole Palmer!

1715453510316.png
 
View attachment 2988274
Cole Palmer huyu dogo asipopata majeraha na akamaintain hii form yake ya uchezaji , huyu dogo ni real talent .
Atafika mbali
 
Kwa sababu kesho mnaogopa mtapigwa
Hapana. Sisi tutawapiga wale manyumbu. Ila mngefungwa, european dreams zenu zingeamuliwa na mechi ya mwisho. Nyumbu wakishinda na nyie msiposhinda, wanaenda ulaya wao.
 
Watu wanaomshambulia Jackson na kumuita takataka
Msimu wake wa kwanza akiwa na miaka 21 kwenda 22, ana magoli 17 na assists 5, EPL ni mara yake ya kwanza, mnataka nini zaidi kutoka kwake? nafasi alizokosa ni kwa vile yeye ni mzuri sana kwenye kukaa kwenye nafasi za kimkakati za kufunga mabao. Hizo kosa kosa za kufunga mabao zikiisha msimu ujao au huo msimu mwingine, Jackson atakuwa ni mshambuliaji wa kufunga mabao 20+ na Asists 10+ kila msimu. wekeni haya maneno kumbukumbu

Sasa turudi kwenye ukweli, nani katika hawa hapa ndio usajili mzuri msimu huu?

1715454417237.png
 
Hapana. Sisi tutawapiga wale manyumbu. Ila mngefungwa, european dreams zenu zingeamuliwa na mechi ya mwisho. Nyumbu wakishinda na nyie msiposhinda, wanaenda ulaya wao.
Nkunku mzima
James mzima
Gusto mzima
Colwill mzima
Sterling aliyezaliwa upya mzima
Mechi zote mbili point 6 na kufikisha 63 ambazo Mbolea haitafikisha, Newcastle asipoangalia atadrop point hapo na Europa tunakwenda mwakani
 
Nkunku mzima
James mzima
Gusto mzima
Colwill mzima
Sterling aliyezaliwa upya mzima
Mechi zote mbili point 6 na kufikisha 63 ambazo Mbole haitafikisha, Newcastle asipoangalia atadrop point hapo na Europa tunakwenda mwakani
Itakuwa vema ikiwa hivyo. Pochettino amepata stress sana na nyie. Angalau apate vimichuano vya ulaya
 
Itakuwa vema ikiwa hivyo. Pochettino amepata stress sana na nyie. Angalau apate vimichuano vya ulaya
Sisi tukidondokea europa au conference ni kubeba tu hatujui Sevilla na genge lake yupo au hayupo tunatembeza rungu hadi mshindo mzito wa kubeba hatuna maksihara na michuano hii
 
Tukumbushane tu kwamba
Palmer anaongoza pamoja na Ollie Watkins kwenye kuchangia ufungaji wa magoli mengi Premier League:
  1. Cole Palmer - 31
  2. Ollie Watkins - 31
  3. Erling Haaland - 30
  4. Mohamed Salah - 28
  5. Heung min Son - 26
1715476189662.png
 
Kuna watu humu walitaka James auzwe kisa Agusto ana perform vizuri si umeona class aliyonayo James nachomkubali huyu jamaa hata kama katoka injuries akirudi tu haitaji mechi nyingi au chache arudi kwenye kiwango chake hii tofauti sana na Benchillwel
 
Waliokuwa wanataka auzwe sio kwa sababu Gusto ni mzuri ila kwa sababu majeraha ya James imefikia wakati mashabiki wakakata tamaa naye

Sasa amerudi amefanyiwa operesheni tuombe Mungu kuwa tatizo lake la misuli limeisha
 
Hawa chini ni wachezaji tuliotegemea wacheze vizuri jana ila hawakuweza kucheza vizuri kama kawaida yao
  1. Malo Gusto
  2. Noni Madueke
  3. Conor Gallagher
  4. Marc Cucurella
  5. Benoit Badiashile
  6. Hata Nkunku alipoingia hakucheza vizuri sana
Wacheza waliocheza vizuri na kuibeba timu jana ni
  1. Cole Palmer kama kawaida yake
  2. Rahim Sterling
  3. Reece James
  4. Moises Caicedo
 
Koio izoo game mbili tukishinda na izoo mbanga nyingine zikapigwa sisi tunaenda Europa kabisa😀😀😀😂😂
 
Ndugu naombeni ufafanuzi kidogo ila kwa uwelewa wangu najua Chelsea ikishika nafasi ya 6 haiwezi kwenda Ueropa league itaenda Conference cup hata kama Man city atachukua kombe la FA kwasababu nafasi ya Europa league ipo moja tu ambayo ni nafasi ya 5 ambayo sisi hatuwezi kuifikia.Kwanini Europa league inachukua nafasi ya tano pekee ni kwasababu league ya uingereza point zake zimeshuka baada ya team zake kutofanya vizuri kwenye miaka ya hivi karibuni kwenye michuano ya Ulaya.kama sipo sawa nisahihisheni
 
Upo

Upo sahihi, ligi zilizopewa pointi nyingi ni Ujerumani, Italy na Spain
 
Back
Top Bottom