cheki unavyoseviwa ...

Vipi upande wa mwanamke? yeye huseviwa kwa majina gani? naona hayo ya wa kaka tu.
 
nimesikia hadi wengne ambao wanawachukia waliojipendekeza kwao mara utawaskia wanawa-save eti mbuzi,mara kitimoto,fyagio,castle-lite duh ushawahi seviwa hv au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom