Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheki ngoma LIVE bila chenga [video clip WEMA SEPETU & DIAMOND]

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kingdom_man, Jul 6, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 523
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,911
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Taifa halitajengwa na wambea wa kufuatilia maisha binafsi ya watu. Kamata jembe ukalime wewe mambo yote KILIMO KWANZA umbea bidae!
   
 3. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 523
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Najua huyu ni dada yako!, sasa akiharibu tukaushe jamani?!!, umbea ndio unasaidia kufundisha watu, wewe mpaka saahiz upo macho na umefungua hii thread kama sio umbea ni nini!!!!!!!!!......na mmejaliwa sana na hips(za kichina) kwenye familia yenu asiee!!!
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  She was nt comfortable at all na hicho kijigauni....
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,610
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu dada tena anacheza music siku hizi? kweli wasanii wa Tanzania hawajitambui kabisa yahani kama wema sepetu hajui ni nini role yake kwa jamii zaidi ya starehe tu na wanaume.
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,555
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Huo kwa kuungalia unavutia lakini ndio hivyo tena ushachakachuliwa sana, according to some JF members of coz
   

Share This Page