Cheki injini hii mtanikoma

Kuna mtu anashangaa kuona hiyo engine kwenye subaru.
Watu wengine sijui amezaliwa wapi
 
Asante mtoa mada, japokua hiyo ni injini ya discovery 2003. Nadhani umechanganya kidogo Jina na Subaru. Keep dreaming mdau. May your dream come true!
 
Disco
Asante mtoa mada, japokua hiyo ni injini ya discovery 2003. Nadhani umechanganya kidogo Jina na Subaru. Keep dreaming mdau. May your dream come true!
Discovery🤣🤣🤣 kwahiyo we unaona hii gari ni discovery
 
Gari yangu ya mwanzo ist kwa kweli Nilikuwa nawaonea wivu sana mkitamba humu ila Nilikuwa sina la kusema.

Nimenunua unyama mwingine wa subaru na leo nlikuwa kwa fundi kufanya marekebisho ya injini.
Maana mi ni mpenzi wa ligi barabarani ndugu yangu elibariki baadae uje tukutane uhasibu nataka tuitest na hiyo audi yako mpaka kibada.

Mmenitesa sana Na nyuzi za gari zenu mkanifanya niazime magari ya watu kwa ajili ya ligi.

Hapa nshanunua ice cube(na jambo nazo)

Ngoja nicheki movie saa tatu na nusu tukutane uhasibu kwa yeyote mwingine atayehitaji mi ntakua kwenye kitimoto pale pembeni barabara ya mbele kulia ukisogea mbele kidogo kuna demu anauza anita huwa anauza pale.
Ahsante kwa Atakayehitaji kushindana pia anaweza kunicheki pm

Hii 1JZ na hio gari sio Subaru
Enewei umenunua sh ngap na wapi naweza kupata injin hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom