Cheka kidogo usije ukakojoa

Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali.
Mume: Wife unakula nini?
Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2.
Mume: Mhudumuu!
Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani?
Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani?
Mhudumu: 65,000/=
Mume: Inakuwa na kachumbari?
Mhudumu: Ndio mkubwa.
Mume: Kachumbari nayo bei gani?
Mhudumu: Kachumbari bure boss.
Mume: Basi 2naomba kachumbari sahani 2!

hahahahahahaha..asante, nalog off kama washawasha
 
Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali.
Mume: Wife unakula nini?
Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2.
Mume: Mhudumuu!
Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani?
Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani?
Mhudumu: 65,000/=
Mume: Inakuwa na kachumbari?
Mhudumu: Ndio mkubwa.
Mume: Kachumbari nayo bei gani?
Mhudumu: Kachumbari bure boss.
Mume: Basi 2naomba kachumbari sahani 2!

hi kali, nimeipenda!
 
hahahahahahaha..asante, nalog off kama washawasha

Duuh! huyo washa2 huwa simwelewi kabisa maana anasema analog off lkn anaendelea kupost kama kawa.Hizi mbwembwe nyingine bwana!
 
kuna mwengine yy aliagizia chai, akauliza kikombe bei gani akaambiwa mia 2 na sukari jee akaambiwa hio ni bure jamaa akaona hapo ndo pa kupata basi akaagiza chai kikombe ki1 na sukari kg 10 take away

haa hapa kweli nimecheka kinoma hahahahahaaaaaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom