Chapombee

Apr 24, 2012
12
1
chapombe mmoja alianguka karibu na TBL na kuzimia papo hapo,mara watu wakajaa na kuanza kujadili namna ya kumsaidia,jamaa mmoja akaagiza maji yaletwe amwagiwe ili fahamu zmrudie!gafla chapombe akanyanyua shingo akasema ''acheni use#*n kama ningekuwa nataka maji si ningeenda kuzimia dawasa''
 
Back
Top Bottom