changing words

Girlie Girlie

Member
Feb 19, 2011
87
4
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia "stop being a bed man" akaanza kunielewa.
 
Leo kazi ipo kila la heri

Unaanzisha thread tano kwa siku??? Wewe kiboko hiyo speed kama ya ndege mmmmhhhh
 
Duhh...

Sasa Hapendi tena Kuwa Bed Man.. au ameongeza mapenzi kwenye mambo mengine pia ?

Sababu sometimes heri nusu shari kuliko shari kamili..

Bed Man.... Kazi Kweli Kweli......
 
bed man??? the one who like sex all the time? or he is lazy man who likes to sleep all the time??/:decision:
 
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia "stop being a bed man" akaanza kunielewa.

Hebu fafanua hiyo Red ueleweke
 
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia "stop being a bed man" akaanza kunielewa.

Duuu, nilikuwa nimemiss threads zako Girlie Girlie... hapa inamaana ulimkataza jamaa kuchakachua au??? :A S 13:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom