Girlie Girlie
Member
- Feb 19, 2011
- 87
- 4
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia "stop being a bed man" akaanza kunielewa.