Changamoto za nyaraka za PDF

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,410
Najua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k.

Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia marekebisho ya hapa na pale ila unashindwa.

Kwangu binafsi nimefurahia huduma za 'online' za Sejda.com, na imenisaidia katika nyaraka zangu zote za pdf; sio kuwa nawatangaza ila ni katika kushea ili na wewe usikwame.​
 
Kwangu binafsi nimefurahia huduma za 'online' za Sejda.com, na imenisaidia katika nyaraka zangu zote za pdf; sio kuwa nawatangaza ila ni katika kushea ili na wewe usikwame.
Hizi huduma zinauzwa mkuu? Je, package ya huduma hizi ni ipi (mfano kuedit, kucovert, etc)? Fafanua vizuri wadau tukuelewe mkuu.
 
Hizi huduma zinauzwa mkuu? Je, package ya huduma hizi ni ipi (mfano kuedit, kucovert, etc)? Fafanua vizuri wadau tukuelewe mkuu.
Ni 'free' kwa kiwango fulani, mi sijalipia chochote, inawezekana kwa huko mbeleni wakanipa gharama baada ya kuona natumia sana.
 
Uniambii kitu kwa Ilove pdf

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kuna data nilikuwa natengeneza kwenye program moja, nataka kupakua tu, ikakataa; ikataka nilipie fedha kama elfu 97 za kitanzania; nikaona isiwe tatizo, ikabidi niikopi na ku-'paste' kwenye word, ikatokea kama 'image' na kuibadilisha haiwezekani; ikabidi niingie google na kutafuta 'change image to word'; nikachagua mojawapo na kuibadilisha, na kusonga mbele.​
 
Naitumia sana hyo na ilove pdf miaka mingi tu. Nazitumia sana hasa kusign documents ambazo sitaki kuziprint.
Ila kama pdf yako si ya mchongo hata microsoft word inafanya kitu hicho. Unaifungua word halafu file, open unachagua pdf itakwambia kuwa unataka kuiconvert to word ukisema ndoyo itakaa kidogo halafundoc itakuwa word.
Ila madhani ni word kuanzia 2016
 
Najua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k.

Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia marekebisho ya hapa na pale ila unashindwa.

Kwangu binafsi nimefurahia huduma za 'online' za Sejda.com, na imenisaidia katika nyaraka zangu zote za pdf; sio kuwa nawatangaza ila ni katika kushea ili na wewe usikwame.​
Asante Kwa kushare
 
Back
Top Bottom