Changamkia scholarships hapa.

Mkuu Sam2000, shukran kwa ufafanuzi wako kuhusu hizi issues za Scholarship, ambazo mara nyingi huwa complicated. Lakini ningependa nikukumbushe kwamba, shule nyingi ambazo zinashirikiana na MasterCard Foundation ni either Ivy League or Semi Ivy League. Kwa kawaida, Admission kwenye shule kama hizi huwa haziangalii Scholarship yako kwanza, bali huangalia a student Academic performances. Ninavyofahamu mimi, An average Undergraduate GPA kwenye hizi Ivy League Universities kama MCGILL ni between 3.6 to 4.00 (A- to A+). Na ndio maana sharti lakwanza kwa applicant kwenye MasterCard Foundation ni kuwa an "A" student, vinginevyo hata kama una scholarship, itakuwa vigumu kupata Admission.


Kipengele cha pili kinaangalia upande wa pili wa huyu "A" student: Hapa wanaangalia kipengele cha "Volunteerism." Ni kwamba hata kama una GPA ya 4.0, lakini haupendi ku volunteer,hawatakuchukua.

Mwisho kabisa,wanatarajia kwamba, baada ya kumaliza masomo yako, utarudi nchini kwenu kuwasaidia ndugu zako. Hili ndio lengo la hii program. Haya ni mambo/ Masharti muhimu ya kuzingatiwa na yoyote anaetaka ku apply kwenye hii program.
 
Siku zote, usipende kufanya mambo yako kisanii, maana hutafanikiwa,

kwa style uliyotumia hata kukusaidia watu wataona ugumu, just be open n direct, maana hata ukipewa hizo link utaandika uwongo Tu kwenye fomu zao.

ushauri wangu, badili heading

ahsante kwa mawazo yako mazur, japo haupo sahihi sana
 
Back
Top Bottom